Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo story yote ilikua na faida gani?
kama hauna cha kuchangia kaa kimya.
Jamani, makasiriko yote haya ya nini ndugu zangu? LolsUnatoa taarifa au unajigamba ili uonekane yaliyomo yamo?
Sometimes be humble hutapungukiwa na kitu.
Mtaachana tu ipo sikuJamani, makasiriko yote haya ya nini ndugu zangu? Lols
Nilikutana na thread yenye heading “Kupotea kwa Internet, umepata changamoto gani?” Ndio nikaelezea changamoto yangu, shida iko wapi?
Naona Mods wamebadili heading, mmenishangaza sana as haikuwa katika namna mliyoichukulia nyinyi.
Anyways, poleni.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtaachana tu ipo siku
Utani tu mkuu
Mkuu shughuli za ujenzi wa hili taifa zinachosha.Kama shida ni MKONGO WA TAIFA
Si tumtumie Christian Bella au Nyosh el saadat hawa si ni wakongo na wameshakaa sana hapaa

East Africa yote inapata mtandao from sub marine cables (mkongo wa bahari),Kenya,UG,TZ,Rwanda,Burundi,Somalia,Djibouti,Sudan zote 2.Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka Johanesburg.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama shida ni MKONGO WA TAIFA
Si tumtumie Christian Bella au Nyosh el saadat hawa si ni wakongo na wameshakaa sana hapaa
Halotel wako vizuri wakiboresha mtandao wao hawa jamaa watatisha.Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau?
=======
Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka Johanesburg.
Wanawaza pesa tu hawa na msg zao za usumbufu kila dakika. Mambo muhimu haya hawaangalii.Mimi swali langu ni:
Kwanini mitandao ya simu haijatuma sms kwa wateja wao kuwa kunashida ya kitaifa ya internet?
Matokeo yake kama mtu anamiliki line zaidi ya moja anajikuta anatumia hela kununua data kwenye lines zingine angali tatizo ni lile lile na mwisho wa siku kama ilinunua data ya muda mfupi itaisha bila yeye kuweza kutumia.
Naelewa kunanjia mbadala ya raia kujua kinachoendelea, ila mwisho wa siku mpaka huyu mtu anapata uelewa ameshatumia hela kununua kitu ambacho hatokitumia.
Huko kwako huyo Kobe bado ana move?
Maana mimi kwa wireles simpati kabisa mpaka nitumie wire
Huo ndio ukweli wa mambo hata tusifichane kwakweli.watu bwana kwahiyo mnataka kusema haya ndio maandalizi ya 2025 ili ikifika wakifanya yao muambiwe mbona mmezoea kila wakati samaki wanakula nyaya huko baharini? nchi ina mambo sana hiyo.