Tanzania na Burundi msije mkashangaa majirani na hata watu kutokea Ulaya wakikimbilia kuja kwenye nchi yenu ya asali na maziwa

hii habari inanikumbusha kikombe cha babu wa Samunge (Loliondo).
 
Kuanzia Zambia, Malawi, Rwanda, Uganda hadi Kenya tutatiririka huko kama mazombi huku tukikohoa kohoa.....
Ha haaa
Nimecheka sana.
Acha 'ungese mkuu', daah imebidi nikutukane tu sababu ya kichekesho na mzaha wako.

Kwamba watu wana kohoa kohoa huku wanatiririka kwa mwendo wa kizombi ile slow motion kuelekea jiji la maajabu kwa ndugu Makonda?
 
Ha haaa
Nimecheka sana.
Acha 'ungese mkuu', daah imebidi nikutukane tu sababu ya kichekesho na mzaha wako.

Kwamba watu wana koho kohoa huku wanatiririka kwa mwendo wa kizombi ile slow motion kuelekea jiji la maajabu kwa ndugu Makonda?

Hehehehe!! Kama wewe mpenzi wa movie, itafute hii inaitwa World War Z, mazombi yanazunguka dunia yakitafuta nchi au sehemu yoyote ambayo haijadhurika kwa kirusi kilichoanzia Korea Kusini kama ilivyo kwa Corona. Endeleeni kutuaminisha kwamba hewa yenu ni dawa tosha dhidi ya Corona, huyo dada ni mfano tu, hebu waza hapo labda walikua bus nzima wote wameshatinga mitaani kwenu wapone, huyo labda ilibidi wamteme maana kaonyesha dalili too much na angewaponza kwa checkpoint za mapolisi.

 
Ninayo hii movie tena my kid muda mfupi kaiona kwenye Ext HDD yangu kaniambia niieweke.
Nilisha sahahu inahusu nini, Ngoja nirudie kuangalia.
Si unajua siku hizi tunajifungia na kucheki movie kama hakuna ulazima wa kutoka.
 
Ninayo hii movie tena my kid muda mfupi kaiona kwenye Ext HDD yangu kaniambia niieweke.
Nilisha sahahu inahusu nini, Ngoja nirudie kuangalia.
Si unajua siku hizi tunajifungia na kucheki movie kama hakuna ulazima wa kutoka.

Itazame uone inaendana na hali ya sasa ya hiki kirusi, hatua kwa hatua...
 
Hii movie ilikuwa noma kupindukia. Nakumbuka nikiwashabikia hao viumbe walipoukwea ukuta huo wa unyanyasaji wa kiyahudi kule Palestine. Hiyo scene kwenye ukuta ilinipendeza sana.
 
Hii movie ilikuwa noma kupindukia. Nakumbuka nikiwashabikia hao viumbe walipoukwea ukuta huo wa unyanyasaji wa kiyahudi kule Palestine. Hiyo scene kwenye ukuta ilinipendeza sana.

Wayahudi walijiponza kwa kuimba imba, hayo mazombi hayakua yanataka kelele, hao wangetulia ndani ya huo ukuta bila kuimba wangeishi.
 
Kiuhalisia sisi tuna mzaha mwingi.
Data tunazotoa ni za uongo.
Why?
Yote yanaanzia kwa Magufuli Kipenzi cha Wakenya.
 
Wananchi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wako ktk taharuki ya hali ya juu ya kuambukizwa Corona kutokana na influx ya wakenya kuingia nchini kupitia njia za panya.

Vyombo vya dola vijitahidi kudhibiti mipaka majirani wameanza kudump wagonjwa wao wa Corona on our side of the border and leave them there in the wild. This is too dangerous kwa wananchi wa Kilimanjaro na Arusha.
Kwamba mnaamini mkija Tz mtapona? Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sio huko tu, tutapitia hata Mwanza na Pwani pia, Tanga au hata baharini.....jengeni ukuta kote, endeleeni kugoma kupima watu wenu muendelee kutuaminisha kwamba hewa yenu ni dawa ya Corona. Tunafuata kikombe cha babu.
 
Kama wamefikia kutupa wagonjwa wao inamaanisha wamedhamiria kuusambaza ugonjwa huku Tz kwa nguvu zote
 
Chakula ni moja ya dawa muhimu kwa mgonjwa wa aina yeyote yule, sasa kama unakataza watu wako wasifanye kazi kujitafutia riziki halafu wakati huohuo wanapata maambukizi wanajikuta hawa chakula na pia hawana pesa.

Ndio maana wanakata tamaa na kuanza kukimbilia nchi jirani au familia kuamua kuwatekekeza wagonjwa wao vichakani mwa nchi jirani au pia inaweza ni nia ovu ya kutaka kuambukiza wananchi wetu wa mipakani.
Kama wamefikia kutupa wagonjwa wao inamaanisha wamedhamiria kuusambaza ugonjwa huku Tz kwa nguvu zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe hebu naomba ule Uzi wa MK254 anaowashtumu watanzania wanavuka mpaka kinyemela kuingia Kenya na kwamba tunawapelekea corona..naona sasa kachange gia angani baada kuona wakenya sasa wanakimbia dhahama nchini mwao..unafki huuu duh!!
 
joto la jiwe hebu naomba ule Uzi wa MK254 anaowashtumu watanzania wanavuka mpaka kinyemela kuingia Kenya na kwamba tunawapelekea corona..naona sasa kachange gia angani baada kuona wakenya sasa wanakimbia dhahama nchini mwao..unafki huuu duh!!

Wala sijabadilisha gia, uhalsia bado ni ule ule, nyie hamna uwezo wa kupima watu wengi kwa siku, hivyo mnasababisha ionekane kama kwenu nafuu, ukizingatia hamchukui tahadhari yoyote, mpo mpo tu siku ziende, hii inasababisha baadhi ya Wakenya wahisi aidha kuna vikombe vya babu mnanyweshwa huko au siri fulani hivi, yaani kwamba mnaishi bila tahadhari na maambukizi ni madogo, lazima watu wakimbilie wakija huko, na sio Wakenya tu, watakuja hata wazungu.....hili nimeliwekea uzi huku Tanzania na Burundi msije mkashangaa majirani na hata watu kutokea Ulaya wakikimbilia kuja kwenye nchi yenu ya asali na maziwa - JamiiForums

Watanzania wanaokuja huku hawaikimbii Corona kwao maana haipimwi kwenu kwa kasi, hivyo hali ya mtaani hamuijui, hamna sababu za wao kuikimbia, wao wanakuja mishe zao zingine sema tukiwapima tunawakuta na Corona, ina maana uhalsia ni kwamba mnaogelea kwa kirusi, na mtaponza sana majirani, ukiangalia Zanzibar kesi zote hadi sasa ni za nyie mnawapelekea, hako kakisiwa kataisha.
 

Jaribu kuangalia hapo si afadhali ambaye hajalockdown?


Babamkwe on Twitter
 
Kuna nchi na visiwa vingi bado wanaisikia Corona kwenye Bomba tu
Lakini isitufanye kufumbia macho hili
Tahadhari inatakiwa sana na kupima sio kigezo bali wanaoathirika wanajulikana na kuonekana kwenye jamii
Mtu anatoka kwenu na ugonjwa na kuja kuambukiza kwetu unaona ni sawa?
Huu ni uuwaji kabisa au mnawatuma
Haiwezekani kama mmefunga kila sehemu ila watu wanaingia tena wagonjwa
Kesi inawahusu hapo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…