Tanzania na DRC zazidi kuimarisha biashara kupitia ushoroba wa kati

Tanzania na DRC zazidi kuimarisha biashara kupitia ushoroba wa kati

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI
IMG-20260820-WA0012.jpg


Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi hizo zikiendelea kushirikiana kupitia Ushoroba wa Kati, ambao ni mtandao jumuishi unaounganisha DRC na masoko ya kimataifa. Ushirikiano huo unalenga kurahisisha usafirishaji wa mizigo, kupunguza gharama na muda wa biashara, pamoja na kuimarisha fursa za kiuchumi kwa mataifa yanayotumia ushoroba huo.
 
Back
Top Bottom