TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25.

Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani

Kwa bahati mbaya hakuweza kufanikiwa kutoka eneo la Kariakoo akiwa Hai.

Mengi kwa kweli, taifa letu linaitaji uponyaji halisi sio wa kisiasa. Wakati vijana wengi na viongozi wa kisiasa wakiwa na kesi nzito na vitisho vinavyoendelea haviwezi kulifanya taifa tena kuwa moja.

Na Hali hii kama itaendelea tunaweza jikuta mahali pa Zimbabwe.

Haki ndio mjenzi wa Amani.
 
Wakenya wanafurahia machafuko Tanzania na sio kama wanakupendeni. Kuharibikiwa kwa tanzania ni kufungua fursa za ziada kwa wakenya.
 
Mkenya hawezi furahia Civil unrest Tanzania, Acheni propaganda hao ni watani wetu wa jadi.

Na walisha tuacha mbali kwenye nyanja nyingi.
 
Back
Top Bottom