Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wakuu,
Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi
1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa na mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni TANZANIIA
1. Kati ya Marais wanayeongelewa na watu au mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa kawaida wa nchi ya Tanzania kwa watakachokiongelea kuhusu ama nchi ya Tanzania au Mh. Rais kwa wema au ubaya ndio wanaostahili kuaminiwa lakini sio watu wa nje ya nchi ambao sio sehemu ya athari zinazodaiwa kusababishwa kwa miaka ya hivi karibuni.
Hakuna taifa la nje litakalo poteza muda na rasirimali zake kuongelea mambo ya Tanzania bila kuwa na maslahi binafsi yaliyohatarishwa kwa sababu mbalimbali