Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Akikujibu mpatie buku "h-am-seen-knee"Wewe ulipiga kura au hukupiga?
Akikujibu mpatie buku "h-am-seen-knee"Wewe ulipiga kura au hukupiga?
Wewe ulipiga kura au hukupiga?
Ukimuondoa Mungu, shetani ndiye maarufu kuliko vyote duniani.Wakuu,
Haya ni maono binafsi kwa rejea za USA Senate, EU council, wanaharakati wa haki za binadamu, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi
1. Kati ya nchi inayotajwa zaidi duniani kwa sasa na mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni TANZANIIA
1. Kati ya Marais wanayeongelewa na watu au mataifa mbalimbali iwe kwa wema au ubaya ni Mh. Dkt. John Pombe Magufuli
Wananchi wa kawaida wa nchi ya Tanzania kwa watakachokiongelea kuhusu ama nchi ya Tanzania au Mh. Rais kwa wema au ubaya ndio wanaostahili kuaminiwa lakini sio watu wa nje ya nchi ambao sio sehemu ya athari zinazodaiwa kusababishwa kwa miaka ya hivi karibuni.
Hakuna taifa la nje litakalo poteza muda na rasirimali zake kuongelea mambo ya Tanzania bila kuwa na maslahi binafsi yaliyohatarishwa kwa sababu mbalimbali
JPM raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,piga kazi,nasema piga kazi baba.
Uraisi siyo ujumbe wa nyumba kumi kwamba watu wako wote unawajua,
Unaongoza zaidi ya watu million 60 Sasa umpe Nani na umnyime Nani,wakati wewe ni binadamu tu
MUNGU mwenyewe hutoa na kukujalia unachokitafuta na siyo unachokitaka.
Panga lako mh: limegusa mifupa ya wengi,kila mtu kasahau taaluma na fani yake kageuka mwandishi wa habari DW sijui BBC huko.
I love my country,
I love my president.
Kila ulifanyalo baraka za mwenyezi MUNGU zipo zinakusubiri,
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa?
Ngoja nimalizie konyagi yangu nikalale