Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Wanao peleka taarifa za uongo ni Tundu Lisu, Zito kabwe na group lao akiwamo mme wao Amsterdam kwa majungu yake,Unadhani hii Tanzania imejitenga kama kisiwa, kwamba yote yanayotokea humu ndani hayawezi kufahamika nje?
Wacha kujidanganya, unaposema watanzania ndio wenye haki ya kuizungumzia Tanzania basi msipokee misaada toka kwa mabeberu, lakini sio mle vyao halafu nyie vyenu visichunguliwe.
SawaNi maarufu kwa mambo machafu...
Wa
Wanao peleka taarifa za uongo ni Tundu Lisu, Zito kabwe na group lao akiwamo mme wao Amsterdam kwa majungu yake,
Na wao kwa kuwa wamebanwa katika rasilimali sasa wanajifanya wameona umbea wakati hawana ushahidi.
Kwa akili zako fupi unahisi hao ICC wanawaza kama nyie makamanda wa ufipa.Na kwa umaarufu wake lazima afike ICC aeleze kwa nini ameua watu na kutesa watu ikiwemo kuwabambikia makesi na kuwaweka ndani
Endelea kuongopa tu, mpaka siku utasema ukweli; sisi tunachapa kazi na JPM wetu. Utakuja kutukumbuka ukiwa umechelewa sana. Tanzania ni nzuri sana kuliko maneno yenu ya ufikinyifu (pessimism)Jiwe ameharibu sana image ya Tanzania na utanzania, nasema ukweli kwa sasa mimi huku nilipo naongopa kuhusu utaifa wangu na yote ni kwa sababu ya Jiwe
Wewe ulipiga kura au hukupiga?Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.