Tanzania na Rais Dkt. Magufuli ndio maarufu zaidi Duniani

Hicho kipengele cha mwisho ndio point ya msingi....mabeberu wamekabwa koo...madini yanawatoa roho.
 
Hebu nyoosha maelezo huyo anaongelewa kwa mabaya tu , bunge la umoja wa ulaya Leo mpaka aibu kwa Tanzania , ndio matokeo ya kusukumiza majitu ikulu .
 
Ukimuondoa Mungu, shetani ndiye maarufu kuliko vyote duniani.
Umaarufu for a wrong reason!
 
ha ha ha nilitaka nitoe tusi ninalolitegemea ila sentensi yako ya mwisho ya bapa ndo imenifunga breki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…