Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa speed hii haifiki October jiwe la uzinduzi litakuwa limeweka. Pesa kutolewa na Africa Development Bank
Check out @sgr_tz’s Tweet:
Ethiopia to Rwanda? You goon you should restore your brainRwanda walks out of talk in favour of Ethiopia SGR route 😀😀😀😀
Kwa speed hii haifiki October jiwe la uzinduzi litakuwa limeweka. Pesa kutolewa na Africa Development Bank
Check out @sgr_tz’s Tweet:
and not in favour of Kenya? hahaa a defeated loser teaming up with a remaining hope in the region 😛Rwanda walks out of talk in favour of Ethiopia SGR route 😀😀😀😀
Hivi hii kitu bado mnakutana kutana, yaani kwa makelele mliyotupigia huku nilijua mumeanza kuchimba. Vipi bomba mlishaanza kuchimba ama na hilo mnakutana kutana.
Hta SGR yenu haikujengwa kama unavyofunga zipu yako ya bagHivi hii kitu bado mnakutana kutana, yaani kwa makelele mliyotupigia huku nilijua mumeanza kuchimba. Vipi bomba mlishaanza kuchimba ama na hilo mnakutana kutana.
Malaba-Kampala mwaka wa saba sasa inaongelewa.Hta SGR yenu haikujengwa kama unavyofunga zipu yako ya bag
Mjuaji hebu tueleze ilvyojengwa.Hta SGR yenu haikujengwa kama unavyofunga zipu yako ya bag
Na nyie mlikamilisha Ile ya Nairobi to Kampala which is one bigger pink elephant inside the jacuzziBado hamjakamilisha mikutano ya huu mradi wa white elephant? Tunataka kuona ujenzi wa phase 1 in renders please juu the real thing bado sana.
Ile bado kuanza hata phase 1 ndio pink elephant na natumai umeijua.Na nyie mlikamilisha Ile ya Nairobi to Kampala which is one bigger pink elephant inside the jacuzzi
I hear in grapeville Magufuli kawaalika Kagame na Museveni uzinduzi wa phase II in record time 2 years in power! How long did it take for the second phase start in Kenya? 5 years....Ile bado kuanza hata phase 1 ndio pink elephant na natumai umeijua.
[emoji23][emoji23] pengine hajui hata Rwanda ilipoEthiopia to Rwanda? You goon you should restore your brain
Mimi hapo ndo nnapowashangaa wakenya yaani wanadhani mambo ni easy easy tu yaani leo kesho tayari sijui hiyo elimu yao bora inawasaidia nini??Hta SGR yenu haikujengwa kama unavyofunga zipu yako ya bag