Tanzania na Rwanda wakutana tena kujadili utekelezaji wa mradi wa SGR (kigali-isaka)

Tanzania na Rwanda wakutana tena kujadili utekelezaji wa mradi wa SGR (kigali-isaka)

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kwa speed hii haifiki October jiwe la uzinduzi litakuwa limeweka. Pesa kutolewa na Africa Development Bank
Check out @sgr_tz’s Tweet:
 
Kwa speed hii haifiki October jiwe la uzinduzi litakuwa limeweka. Pesa kutolewa na Africa Development Bank
Check out @sgr_tz’s Tweet:

Rwanda walks out of talk in favour of Ethiopia SGR route 😀😀😀😀
 
Kwa speed hii haifiki October jiwe la uzinduzi litakuwa limeweka. Pesa kutolewa na Africa Development Bank
Check out @sgr_tz’s Tweet:

Will ADB Fund the whole line from Isaka to Kigali? Itapendeza
 
East Africa most hard working countries. Uhuru & M7 combination is not yielding anything
 
Hivi hii kitu bado mnakutana kutana, yaani kwa makelele mliyotupigia huku nilijua mumeanza kuchimba. Vipi bomba mlishaanza kuchimba ama na hilo mnakutana kutana.
 
Hivi hii kitu bado mnakutana kutana, yaani kwa makelele mliyotupigia huku nilijua mumeanza kuchimba. Vipi bomba mlishaanza kuchimba ama na hilo mnakutana kutana.

Hata Dar Moro SGR mlikuwa mkisema hivyo hivyo.
 
Bado hamjakamilisha mikutano ya huu mradi wa white elephant? Tunataka kuona ujenzi wa phase 1 in renders please juu the real thing bado sana.
 
Bado hamjakamilisha mikutano ya huu mradi wa white elephant? Tunataka kuona ujenzi wa phase 1 in renders please juu the real thing bado sana.
Na nyie mlikamilisha Ile ya Nairobi to Kampala which is one bigger pink elephant inside the jacuzzi
 
Ile bado kuanza hata phase 1 ndio pink elephant na natumai umeijua.
I hear in grapeville Magufuli kawaalika Kagame na Museveni uzinduzi wa phase II in record time 2 years in power! How long did it take for the second phase start in Kenya? 5 years....
 
kama SGR itafika Rwanda, wanyarwanda watafaidika sana, wacongo watafunga mzigo wote palepale kigali na Tz tutaweza kuwacontrol sana hao watu kwasababu watadepend kwa reli na bandari yetu kwa asilimia kubwa. kama mradi huu utafanikiwa, itakuwa hatua mojawapo kubwa kiuchumi.
 
Hta SGR yenu haikujengwa kama unavyofunga zipu yako ya bag
Mimi hapo ndo nnapowashangaa wakenya yaani wanadhani mambo ni easy easy tu yaani leo kesho tayari sijui hiyo elimu yao bora inawasaidia nini??
 
Back
Top Bottom