Tanzania na Saudi Arabia kushirikiana kudhibiti Uhalifu Mtandaoni

Akina mkojani wamewai kuweza nini

Hao zaidi ya kugawa kondoo na kugawa nyamaaa .

Nina uhakikaa kuna mradi unanukia
 
Awamu hii mtasumulishwa bila kujielewa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.
 
Tungeanza kudhibiti uhalifu wa kutekana kwa ground kabla ya hayo ya mtandaoni ๐Ÿ’
 
Genge lolote linalohusika na utekaji lidhibitiwe ili kuepusha mifarakano kwenye taifa
Wakiruhusu bangi itakua hakuna magenge. Bangi za kujificha na kuvutia chooni zina madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ