Ndugu wa kuviziana. Waliiua East African community halafu wanaipigania sasaLeo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?
Naomba mnisaidie.
Nadhani labda tuwaite majirani zetu tu wala siyo ndugu zetu.Ndugu wa kuviziana. Waliiua East African community halafu wanaipigania sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa Kenya ni majirani,tosha! Sisi ni wanabiashara na biashara + undugu= hasara + dharau.🙂Hehe,hivi ndo watz huwa mnafunzwa Business Education shuleni? Anyway, udungu? Sisi hiyo hapan tambua!Nadhani labda tuwaite majirani zetu tu wala siyo ndugu zetu.
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?
Naomba mnisaidie.
Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?vyovyote mtakavyo...at the end of the day, urafiki hauliwi...biashara inaendelea kama kawa kati yetu na UG....reli inaendelea sasa hatuhitaji kuitwa ndugu ama rafiki ndio tujifurahishe...bora tu uchumi wetu ukue na watu wetu waondoke ktk umaskini..
Waite unavyopenda weweLeo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?
Naomba mnisaidie.
na ndio maana nika kwambia kuwa hatuhitaji rafiki au ndugu...tunahitaji biashara tosha...pengine nikukumbushe Uganda hawawezi kuendesha uchumi wao bila Kenya sasa hawana namna....Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
Ndio maana wanaachana na nyie. Mmekuwa na nyodo sana. Next step ni bomba la gas from Tz to Uganda. Nyie bado mna biashara za kizamani zilizopitwa na wakati. Is the matter of time. Mtoana mziki tofauti kabisa.na ndio maana nika kwambia kuwa hatuhitaji rafiki au ndugu...tunahitaji biashara tosha...pengine nikukumbushe Uganda hawawezi kuendesha uchumi wao bila Kenya sasa hawana namna....
Biznez 101! Oya Annael umesahau Afrika ina nchi zaidi ya hamsini? Unataka kuwa ndugu ya kila mtu? Shemeji naye atatoka wapi jombaa?umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
Kenya na chadema ndg ila na ccm marafiki[emoji125] [emoji125] [emoji125]Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?
Naomba mnisaidie.
Nadhani imekuingia sawa sawa. China, Russia, USA are developed countries. Mimi na wewe bado tunajikongoja. Nyodo hizo zinawafanya wengine waachane na nyie.umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
hehe..first of all, the geography of East Afroca favors Kenya in serving land-locked nations like UG...secondly, our port is larger, much more efficient than any other port...so I dont see that happening...mtu mwenye akili zake timamu hawezi akaenda mbali kufanya biashara na kuna port moja nzuri iko tu karibu na wao....fimbo ya mbali...malizia....finally, the pipeline did not go to Tz becoz UG hates Kenya...it went to Tz because there were genuine concerns over the kenyan route...for example, alshabaab, cost, and other variables...thats why TOTAL advised UG to take the TZ route but it is not because Uganda hates Kenya...huo ni ujinga...Ndio maana wanaachana na nyie. Mmekuwa na nyodo sana. Next step ni bomba la gas from Tz to Uganda. Nyie bado mna biashara za kizamani zilizopitwa na wakati. Is the matter of time. Mtoana mziki tofauti kabisa.
mwache huyo ni uchochezi tu nia yake...kwanza hata watz wenzake wameona hamna hoja kwa thread hii...Biznez 101! Oya Annael umesahau Afrika ina nchi zaidi ya hamsini? Unataka kuwa ndugu ya kila mtu? Shemeji naye atatoka wapi jombaa?