Tanzania na Uganda ni ndugu, vipi kuhusu Kenya?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
Ndugu wa kuviziana. Waliiua East African community halafu wanaipigania sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani labda tuwaite majirani zetu tu wala siyo ndugu zetu.

Maana ukiangalia Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Mozambique hawa ni ndugu zetu. Hata hawa Malawi nao ni ndugu zetu japo wakati tunapigania ndugu zetu wa uganda Kamuzu Banda aliingia kutaka kuchukua eneo la Tanzania.
Tulimpiga kimya kimya. Na wimbo ukatungwa
"Banda wa Malawi atuvalia ngozi ya simba kututisha watanzania"

Sasa hivi rais wa malawi amekaa sana hapa Tanzania na kufundisha chuo cha UDSM.

Hawa kenya ni majirani zetu tu.
 
Hawa ni majirani tu. Wamezuiya ngano na gesi toka tulipo ondoa vikwazo. Niwatu waajabu
 
Nadhani labda tuwaite majirani zetu tu wala siyo ndugu zetu.
Hapo sawa Kenya ni majirani,tosha! Sisi ni wanabiashara na biashara + undugu= hasara + dharau.🙂Hehe,hivi ndo watz huwa mnafunzwa Business Education shuleni? Anyway, udungu? Sisi hiyo hapan tambua!
 
vyovyote mtakavyo...at the end of the day, urafiki hauliwi...biashara inaendelea kama kawa kati yetu na UG....reli inaendelea sasa hatuhitaji kuitwa ndugu ama rafiki ndio tujifurahishe...bora tu uchumi wetu ukue na watu wetu waondoke ktk umaskini..kisha pengine nikuarifu, kenya haina kinyongo na nchi yeyote....alshabaab wasomali wanawauwa wakenya kila uchao ila rais wa somali akija Nairobi ana karibishwa na heshima mno...we export a lot of products to Somalia and we cant bring emotions into business and uhusiano...
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.

Wao ni marafiki zetu!!
 
vyovyote mtakavyo...at the end of the day, urafiki hauliwi...biashara inaendelea kama kawa kati yetu na UG....reli inaendelea sasa hatuhitaji kuitwa ndugu ama rafiki ndio tujifurahishe...bora tu uchumi wetu ukue na watu wetu waondoke ktk umaskini..
Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa ww kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
Waite unavyopenda wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbuka wati ule mlichoma magari ya Uganda!? Tena unakumbuka kipindi kile mling'oa reli ili Uganda wasipitishe mizigo!?
Unadhani Uganda wamesahau!?
Nyie ni wabinafsi hampendi watu wengine wafaidike. Tutaendelea kuwaita jirani na siyo ndugu zetu. Waganda ndio ndugu zetu. Sasa hivi tunafanya mradi wa pamoja wa umeme.
Maana sisi sote ni ndugu sio nyie wakenya.
na ndio maana nika kwambia kuwa hatuhitaji rafiki au ndugu...tunahitaji biashara tosha...pengine nikukumbushe Uganda hawawezi kuendesha uchumi wao bila Kenya sasa hawana namna....
 
Huu ni uchochezi na unastahili kupimwa mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
 
na ndio maana nika kwambia kuwa hatuhitaji rafiki au ndugu...tunahitaji biashara tosha...pengine nikukumbushe Uganda hawawezi kuendesha uchumi wao bila Kenya sasa hawana namna....
Ndio maana wanaachana na nyie. Mmekuwa na nyodo sana. Next step ni bomba la gas from Tz to Uganda. Nyie bado mna biashara za kizamani zilizopitwa na wakati. Is the matter of time. Mtoana mziki tofauti kabisa.
 
umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
Biznez 101! Oya Annael umesahau Afrika ina nchi zaidi ya hamsini? Unataka kuwa ndugu ya kila mtu? Shemeji naye atatoka wapi jombaa?
 
Leo katika uzinduzi wa mradi mkubwa wa kwanza duniani, bomba la mafuta ghafi toka Uganda kuja Tanzania. Rais Yoweri Kaguta Museven amesema Tanzania na Uganda ni ndugu na sio marafiki. Vipi hawa jamaa zetu kutoka kenya tuwaiteje!?

Naomba mnisaidie.
Kenya na chadema ndg ila na ccm marafiki[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umemsoma sana...haha...jamaa anajaribu kuchochea rabsha kati ya watz na wakenya...yaani ni kama mtoto mdogo vile..mambo ya rafiki na ndugu ndio nini sasa?? this is the 21st century...USA hates China...Usa hates Russia...but they do business like pros...
Nadhani imekuingia sawa sawa. China, Russia, USA are developed countries. Mimi na wewe bado tunajikongoja. Nyodo hizo zinawafanya wengine waachane na nyie.

Nyie ni majirani zetu hatuwezi kuwaamini.
Halafu ukumbuke Russia, USA and China are permanent in UN security council. Au hujui!?

China, Russia and USA they trust each other. But you guys you can't be trusted.
 
Ndio maana wanaachana na nyie. Mmekuwa na nyodo sana. Next step ni bomba la gas from Tz to Uganda. Nyie bado mna biashara za kizamani zilizopitwa na wakati. Is the matter of time. Mtoana mziki tofauti kabisa.
hehe..first of all, the geography of East Afroca favors Kenya in serving land-locked nations like UG...secondly, our port is larger, much more efficient than any other port...so I dont see that happening...mtu mwenye akili zake timamu hawezi akaenda mbali kufanya biashara na kuna port moja nzuri iko tu karibu na wao....fimbo ya mbali...malizia....finally, the pipeline did not go to Tz becoz UG hates Kenya...it went to Tz because there were genuine concerns over the kenyan route...for example, alshabaab, cost, and other variables...thats why TOTAL advised UG to take the TZ route but it is not because Uganda hates Kenya...huo ni ujinga...
 
Biznez 101! Oya Annael umesahau Afrika ina nchi zaidi ya hamsini? Unataka kuwa ndugu ya kila mtu? Shemeji naye atatoka wapi jombaa?
mwache huyo ni uchochezi tu nia yake...kwanza hata watz wenzake wameona hamna hoja kwa thread hii...
 
Back
Top Bottom