Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Mlikuwa mkishupaza shingo na mimba zenu za chuki za Mwendazake naona mtaanza kumuelewa Anko Magu,kile chuma kina misimamo na kinajua kuforce.

Kwa kifupi sizani kama tutatoboa na huyu mzee wa Schedule Maintenance Mwezi wa kwanza Mathreads chenga tupu.
 
Mh Lissu ameeleza katiba inasema nini ili Raia awe mbunge. Kigezo ninlujua kutambua a e i o u. Hao ndo tunaowatarajia wachallenge wenzao wa E U na kututungia mikataba
Issues sio katiba issues kiongozi kuwa na ujasiri kuanziasha harakati na kuwaface wazungu. Hii issues haitaji sana katiba bali nguvu kutoka kwa Rais na jopo la wasomi,sio wanasiasa wasiokuwa na misimamo.
 
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.

Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
Hakuna Vita ya Uchumi duniani.
Tatizo letu Afrika ni kukosa msimamo unaoungwa mkono na Wananchi wetu.
Ni nani huku kwetu anayejua miradi inayofanyika huko Ulaya na athari zake kimazingira?
Jibu ni kwamba, hakuna.
Kama hatujui kinachofanyika kwao, kwa nini tunawasikiliza wanapozungumzia yanayofanyika kwetu?
Jibu ni moja tu. Hatujiamini.
Ni nini chanzo cha kutojiamini kwetu?
 
Salaam Wakuu,

Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.

Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.

View attachment 2358292

Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.

Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.

Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.

Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.

Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Binge la Tanzania wao wako busy kujadili nguvu za kiume
 
Watakachofanya ni kuwapiga mkwara makampuni na mabenki yao na hivyo watajitoa kufadhili na kuendeleza huu mradi. Huu ndiyo wakati sasa Afrika inatakiwa kushirikiana na mataifa mengine yanayoibuka kuwa na nguvu kiuchumi na kiteknolojia kama China, Urusi, Japan, India, Korea kusini na kuachana na utegemezi kwa mabeberu wa magharibi.​


22 February 2021​

PROFESA KABUDI AKIWA PARIS AKUTANA NA UONGOZI WA TOTAL



22 Feb 2021
Paris , France

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi akiwa Paris France ambapo alikutana na uongozi wa kampuni ya Total juzi kuzungumzia ujenzi wa bomba la mafuta ambao unatarajiwa kuanza Machi 2021.

On Wednesday, Tanzania's foreign minister Palamagamba Kabudi said he met with Total's Director for Africa, Nicolas Terraz, while on a visit to Paris last week and discussed the project.

"They said everything is set," he told reporters in Dar es Salaam. "The construction of the pipeline will begin in the second half of March. This is a great step and the construction will be completed in 2024.

Read More
25 February 2021
Uganda said on Thursday the construction of a $3.5 billion oil pipeline with France's Total due to run through neighbouring Tanzania was expected to begin shortly.

On Wednesday, Tanzania's foreign minister Palamagamba Kabudi said he met with Total's Director for Africa, Nicolas Terraz, while on a visit to Paris last week and discussed the project.

"They said everything is set," he told reporters in Dar es Salaam. "The construction of the pipeline will begin in the second half of March. This is a great step and the construction will be completed in 2024."

The start of commercial crude production has been repeatedly delayed by a lack of infrastructure needed to export the oil from landlocked Uganda and by disagreements over field development strategy.

The planned crude export pipeline is to run a length of 1,445 km (900 miles), beginning in Hoima in western Uganda and ending at the Indian Ocean seaport town of Tanga in Tanzania.

About two thirds of the pipeline's cost will be financed by debt, and a Ugandan unit of South Africa's Standard Bank Group and Japan's Sumitomo Mitsui Banking Corp are jointly helping to raise the funding.
The government has said that once pipeline construction begins, it would take two-and-a-half to three years to complete.

" Source : Uganda sees work on oil pipeline with Total starting shortly
 
14 February 2021

Juhudi za Rais Magufuli
kuhakikisha bomba la mafuta toka Uganda hadi Tanga Tanzania ujenzi uanze mara moja bila kuchelewa, amtuma Prof. Palamagamba Kabudi nchini Ufaransa

Lakini wanaopinga ni asasi za kijamii ambazo idadi yao 263, zikiwemo baadhi za Uganda, Tanzania na Kenya japo nyingi za Uzunguni, haitakua haki kulaumu hayo mabenki, wao walikua wameridhia kutoa mikopo. Kimsingi ni kushughulkia na kujibu madai yao kitaalam.

Tarehe 17 February 2021

hayati Rais John Magufuli alimtuma ziarani Prof. Palamagamba Kabudi nchini Ufaransa kuchagiza mambo ikiwemo kuweka sawa mradi huu uanze Machi 2021, pia katikati ya mwezi Machi kuwepo tukio kubwa nchini Uganda na Tanzani kuashiria kuanza kwa mradi. Nilidhani ziara hii ingeweza kusawazisha mambo yote kama upatikanaji fedha n.k kwa mradi huu kuanza, lakini inaonekana Prof. Kabudi alishindwa kuwashawishi wadau kama mabenki n.k

Meeting between Prof. Palamagamba J. Kabudi with his counterpart in Paris​

  • 04 Mar 2021

Prof. Palamagamba J. Kabudi, Tanzania Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation, met with Jean-Yves le Drian, France Minister for Europe and Foreign Affairs. The visit reflects the long time relationship between two countries. During the meeting, the two ministers underscored the importance economic as well as social relationships. This visit is an endorsement of the high-quality bilateral relationship between the two countries as well as Tanzania’s role in East Africa, notably with respect to regional integration and the fight against terrorism.
 
Ninakubaliana na wazo hili.

Hakuna sababu muhimu ya kuendelea kuwapapatikia hawa watu.

Dunia inavyogeuka sasa, utegemezi kwao hautakuwa wa lazima sana, kama China, India, Urusi na mataifa mengine yataamua kuachana na mifumo inayotumiwa na hawa wahuni kuendelea kutawala dunia kiuchumi. Teknologia sasa imeenea, haihodhiwi tena na haya mataifa machache.
Jidanganyeee
 
IPO HAJA YA KUIFUMUA DIPLOMASIA YETU YA UCHUMI

Maana pamoja na ziara, makongamano, mikutano n.k lakini tunashindwa kuwa na ushawishi kimataifa kuvutia wadau wa maendeleo wawezeke, tatizo ni nini? Serikali haina wataalamu wabobezi na wanadiplomasia wa kuweza kukakaa na kueleweka kwa wawekezaji na pia kwa serikali za wadau wa kimataifa?

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kidiplomasia ndiyo balozi namba moja (in prof. Palamagamba Kabudi bold voice maandishi yaliyokoza), kukutana uso kwa kwa uso yaani kwa lugha ya kidiplomasia tête-à-tête baina yake na viongozi wa mataifa ya EU pia kina John Kerry waziri wa zamani wa Marekani , vigogo wa makampuni ya Shell, Total, mabenki makubwa ya dunia na matajiri wakubwa wamiliki wa meli n.k inalipa zaidi kiushawishi kuliko kupitia video conferencing.

Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 mjini Paris, France

1663321807940.png

Mh. Emmanuel Macron rais wa France akiwa na mgeni wake Mh. Rais Samia Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia Hassan ktk picha mbele ya Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 Ufaransa jijini Paris kwa mazungumzo kuhusu mahusiano baina ya nchi hizi mbili yaliyogusa nyanja mbalimbali.
 
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.

Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
kwa utawala wa huyu bibi sijui
 
Mabeberu bana daah hapa Chuma mwamba JPm angewajibu vizuri tu
Mavi yake!! Angewajibu kwani yeye ndiye mwenye mafuta? Huyu Magufuli mnamu over estimate sana. Alikuwa pimbi tu na asingefanya lolote.

Alishindwa kuuza korosho kupitia TPDF mpaka sasa kuna baadhi hawajalipwa ndiyo mnafananisha na mafuta??
 
Mabeberu bana daah hapa Chuma mwamba JPm angewajibu vizuri tu
Mavi yake!! Angewajibu kwani yeye ndiye mwenye mafuta? Huyu Magufuli mnamu over estimate sana. Alikuwa pimbi tu na asingefanya lolote.

Alishindwa kuuza korosho kupitia TPDF mpaka sasa kuna baadhi hawajalipwa ndiyo mnafananisha na mafuta??
 
Alishindwa kuuza korosho kupitia TPDF mpaka sasa kuna baadhi hawajalipwa ndiyo mnafananisha na mafuta??

Pamoja ya kuwa Mh. John Magufuli kumtumia mwanadiplomasia namba mbili Prof. Palamagamba Kabudi waziri wa mambo ya nje katika dili nyingi kimataifa za kibiashara ikiwemo korosho na bomba la mafuta, lakini imeshindikana.

Inabidi sasa serikali kutumia uzoefu wa kina Rostam Aziz, Juma Volter Mwapachu, Jumanne Kishimba , Omari Issa kutoa ushauri jinsi biashara na madili ya kimataifa yanavyofanikishwa badala ya kwenda kisiasa tu ktk madili haya.

1663323087375.png

Picha : Rais wa benki ya Maendeleo Afrika-AfDB (kulia)Dr. Akinwumi "Akin" Adesina akiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz
 
"Kula uliwe" - Kikwete.

Dunia ya leo wewe kinyangarakata ukijifanya mroho na kutaka kula peke yako, shibe itakutokea puani. Tusisahau yaliowakuta GHddafi na Saddam Hussein. Kosa lao lilikwa ni kukata mirija tu.


Tanzania inatakiwa tusikurupuke, diplomasia ya hali ya juu itembee, na naamini tuna wana diplomasia waliobobea ndani ya Tanzania

Angalia aina hii ya akili na mawazo kutoka kwa huyu ndugu yetu,tutafika kweli kule tunapotamani wakuu ?
 
TOTAL na CNOOC wenyewe wana wataalamu wakutosha wa mazingira na sheria.

Ikifika hatua mradi wao inatishiwa kweli utawasikia wakijibu hizo hoja. Sidhani kama wawekezaji wanafikiria mtu kama Makamba awajibie hoja za EU. Makamba ambae ata ukimwambia aandike eco-efficiency report ya huo mradi hajui aanzie wapi na wala maelezo gani ya kuweka kujibu hizo concern za kutunga EU.

TOTAL na CNOOC ni big players kwenye mafuta sio watu wakufungiwa miradi yao kwa hoja za juu juu tu, ikifika hatua inabidi wajibu utawasikia tu.
 
JICHO LA NCHI TAJIRI LINAVYOIANGALIA AFRIKA
Combating Barriers to Investment in Africa


Omari Issa, CEO of Investment Climate Facility for Africa.
 
Mabeberu hawataki tujitegemee.
Yaani wamejivua mask zao, tumewaona kuwa kumbe ni watu wana roho mbaya, wanataka tuishi kwa handouts zao lakini tusiwe na nguvu za kujitegemea!
 
Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini.
Sikuwaza hili,ila nimekuelewa haraka sana kwa kasi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom