Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

Sasa kwani Bunge letu lina Spika?Spika anashindwa kuibana serikali juu tozo,mikopo ya kisanii,Bei za mchongo za mafuta,mfumuko wa Bei za vyakula nk.
Sisi hatuna Spika tuna mtetezi wa serikali dhaifu aliyewekwa kimchongo kuitetea serikali dhidi ya Wananchi.Mnategemea Spika asiyejielewa kama uyu kutoa msimamo kwenye masuala ya msingi Kama ayo ya makatazo ya Bunge la Ulaya 🤣🤣🤣.
Mara nyingine nawaza hivi hiini nchi au kikundi cha kusaidiana cha kinamama chini ya udhamini wa akina Baba
Wacga Kenya na Uganda watambe kidiplomasia kimataifa!
Twafwaa!
 
Kama unamaanisha ulicho andika(japo sijawahi kuwa sapota wa magufuli kwa mengi isipokuwa kwa mradi wa umeme) basi tanzania tunayo safari ndefu sana

Aisee had huwa nataman kulia sometimes jinsi Tanzania kulivo kua na vilaza wengi ivi hiyo mirad mbwa anasema haifai aisee acha tupate nafas ya kuondoka hapa
 
Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k.
India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya.

Kwenye swala la nishati sijawahi kuwa rafiki na yeyote anaye kwamisha huo ndio mskmamo wangu
 
Hahaha, hawa jamaa wehu nini, washindane na hizo kampuni zao wenyewe tuone. Hii ni vita ya kiuchumi, na nina shaka na Kenya juu ya hili.
 
Mradi utayeyuka na utafiti mpya utaonesha hakuna mafuta yoyote hapo walikuwa wanatania tu, ndipo stori itageuka historia kama gesi ya Mtwara.
Kumbuka CNOOC ni Mchina. Unadhani Mchina alivyo na uroho ataacha tu apate hasara?
Kumbuka tayari baadhi ya rig za kuchimba limeshafika bandari ya Mombasa. Ujenzi wa Bomba tayari unaendelea hapa Tanzania. Wenye mashamba wameshakula za uhamisho.
 
Utajiamini vipi bila backup ya Dola? Serikali haitaki wewe uwe na sauti sababu utai challenge kwahio hata ikifikia wakati ambapo serikali inataka backup ya raia wake kila mtu hajiangaishi.

Demokrasia tuliambiwa is the rule of people for the people by the people. Huu ni uongoooooo!!!

Nchi yetu inaendeshwa kibepari wenye udikteta ndani yake.😂😂😂 Hutaki meza wembee.
 
Kwani tuliwe Mara ngapi bibi?
Wenye mradi wao Total si Waafrika, Sisi tunapata ka pacentage tu.
 
Hawa wazungu ni wapuuzi kabisa! Tuukatae ukoloni mamboleo kwa nguvu zetu zote!
 
Tegemeo letu tuwekeze kwa mchina,tumwambie asikubali kula hasara.Aongeze kampuni nyingine kutoka kwake hizi za ulaya tuzifukuze(japo anaweza kutupiga kidizain)
 
Na we ni mmoja wa wanzilishi wa hiyo safari, kama ulimsapoti kwa umeme tu na mengine ukaona hayana maana. Yaani ujenzi wa vituo vya afya, miradi ya maji, ukarabati wa shule na vyuo vikongwe, miundo mbinu..duh
Vitue vya afya shule n.k vimekuwa vikijengwa enzi na enzi uthubutu wake kwenye mradi wa umeme unamtofautisha na wengine wlte walio pita. Mradi wa pili ninao msapoti magufuli ni reli. Japo alipotoshwa pakuielekeza. Huwezi kuipeleka rwanda halafu uache kuipitisha tabora mwanza n.k
 
Wala sio hilo... Wanazuwia Ghadafi wengine kuibuka... End
 
Sas mbna Jana tu huko Tabora nimeona ktk vyomb vya habari kazi inaendelea kusimiak nguzo za kushikiliaa bomba nin kinachoendeleaa sas

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nchi zitajikwamua kivipi ikiwa nishati ni ya kuunga unga? Nchi zetu zisiyumbishwe na kigezo cha mazingira. Ni ama wazungu wazime viwanda vyao au watuache tuendelee na mikakati yetu.
Tatizo mkuu technology wanao wao pia na utaalamu wanao wao najiuuliza tu sas hiz kampuni za mabeberu mbna ndio waendeshaji wakuu au wanatuzunguka kinyemela nn Africa tuwe macho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…