Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,362
- 2,373
Hata ndege , reli ulisema hivyo hivyo kenge wewe.Nilishasema miaka 5 iliyopita kuwa mradi wa bomba la mafuta hautafanyika na wala haufai kwa siku hizi za renewable energy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ndege , reli ulisema hivyo hivyo kenge wewe.Nilishasema miaka 5 iliyopita kuwa mradi wa bomba la mafuta hautafanyika na wala haufai kwa siku hizi za renewable energy.
Labda mzee wa jalalaniHivi tuna timu nzuri ya kuweza kutoa hoja kama hizi mbele ya hao mabeberu?
Walimwogopa mwamba wa Africa magufuliWaache ujinga miaka zaidi ya minne walikua kimya kuhusu hili, saivi wameamua kujiropokea
Kama unamaanisha ulicho andika(japo sijawahi kuwa sapota wa magufuli kwa mengi isipokuwa kwa mradi wa umeme) basi tanzania tunayo safari ndefu sana
Kwani tumefanikiwa nini kwenye ndege au reli? Kununua ndege sio mafanikio unahitaji kuwa na akili kidogo tu kujua hilo!Hata ndege , reli ulisema hivyo hivyo kenge wewe.
Hahaha, hawa jamaa wehu nini, washindane na hizo kampuni zao wenyewe tuone. Hii ni vita ya kiuchumi, na nina shaka na Kenya juu ya hili.Salaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.
View attachment 2358292
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kumbuka CNOOC ni Mchina. Unadhani Mchina alivyo na uroho ataacha tu apate hasara?Mradi utayeyuka na utafiti mpya utaonesha hakuna mafuta yoyote hapo walikuwa wanatania tu, ndipo stori itageuka historia kama gesi ya Mtwara.
Utajiamini vipi bila backup ya Dola? Serikali haitaki wewe uwe na sauti sababu utai challenge kwahio hata ikifikia wakati ambapo serikali inataka backup ya raia wake kila mtu hajiangaishi.Hakuna Vita ya Uchumi duniani.
Tatizo letu Afrika ni kukosa msimamo unaoungwa mkono na Wananchi wetu.
Ni nani huku kwetu anayejua miradi inayofanyika huko Ulaya na athari zake kimazingira?
Jibu ni kwamba, hakuna.
Kama hatujui kinachofanyika kwao, kwa nini tunawasikiliza wanapozungumzia yanayofanyika kwetu?
Jibu ni moja tu. Hatujiamini.
Ni nini chanzo cha kutojiamini kwetu?
Kwani tuliwe Mara ngapi bibi?"Kula uliwe" - Kikwete.
Dunia ya leo wewe kinyangarakata ukijifanya mroho na kutaka kula peke yako, shibe itakutokea puani. Tusisahau yaliowakuta GHddafi na Saddam Hussein. Kosa lao lilikwa ni kukata mirija tu.
Tanzania inatakiwa tusikurupuke, diplomasia ya hali ya juu itembee, na naamini tuna wana diplomasia waliobobea ndani ya Tanzania.
Vitue vya afya shule n.k vimekuwa vikijengwa enzi na enzi uthubutu wake kwenye mradi wa umeme unamtofautisha na wengine wlte walio pita. Mradi wa pili ninao msapoti magufuli ni reli. Japo alipotoshwa pakuielekeza. Huwezi kuipeleka rwanda halafu uache kuipitisha tabora mwanza n.kNa we ni mmoja wa wanzilishi wa hiyo safari, kama ulimsapoti kwa umeme tu na mengine ukaona hayana maana. Yaani ujenzi wa vituo vya afya, miradi ya maji, ukarabati wa shule na vyuo vikongwe, miundo mbinu..duh
Wala sio hilo... Wanazuwia Ghadafi wengine kuibuka... EndSalaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.
View attachment 2358292
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Yaani tuna bunge la kijinga haijawahi tokea duniani tangu kuumbwa ulimwengubunge limebaki kubariki tozo, bangi na panyaboy.
Sas mbna Jana tu huko Tabora nimeona ktk vyomb vya habari kazi inaendelea kusimiak nguzo za kushikiliaa bomba nin kinachoendeleaa sasSalaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania.
View attachment 2358292
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Tatizo mkuu technology wanao wao pia na utaalamu wanao wao najiuuliza tu sas hiz kampuni za mabeberu mbna ndio waendeshaji wakuu au wanatuzunguka kinyemela nn Africa tuwe machoNchi zitajikwamua kivipi ikiwa nishati ni ya kuunga unga? Nchi zetu zisiyumbishwe na kigezo cha mazingira. Ni ama wazungu wazime viwanda vyao au watuache tuendelee na mikakati yetu.