uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Tuondokee hapa, dead men don't count.
Yes, what do you refer? Maana ni lazima uwe na sheria, Imani fulani or reference kujenga that serious argument, sasa wewe Dada yangu, ume refer nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuondokee hapa, dead men don't count.
Wao mbona sasa hivi wameanza kutumia makaa ya mawe yanayoharibu mazingira? Wakisikilizwa tutakuwa tunajiabisha.Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira
Tuondokee hapa, dead men don't count.
Tena Bunge la mwendazake😅Mh Lissu ameeleza katiba inasema nini ili Raia awe mbunge. Kigezo ninlujua kutambua a e i o u. Hao ndo tunaowatarajia wachallenge wenzao wa E U na kututungia mikataba
Kwahiyo tuache tu tuwe tegemezi? Kwani wenye crude oil wanaifanyia kazi gani?Halafu mtamuuzia nani hiyo crude oil ?
kwa hiyo hata hao uganda wamekaa hapo kujadili porojo?Tuwekee source ya habari hii, la sivyo ni porojo tu
Aisee.Salaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania
View attachment 2358292
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Umwambie Musukuma aongee, si ataleta aibu kubwa?Hivi ndani ya bunge letu la michongo ni mbunge gani anaweza kujenga hoja juu ya hilo? Pengine kukaa kwao kimya kumeepusha aibu kubwa zaidi maana kama wangeongea hatuna hakika wangeropoka nini
Hio diplomasia ilisaidia nini toka kuanza kwa taifa hili. Watu mnahubiri diplomasia ili muendelee kuliibia taifa na kuhujumu watanzania wenzenu kwa amani. Mi naona kuheshimiana ni muhimu kuliko amani ya kijinga"Kula uliwe" - Kikwete.
Dunia ya leo wewe kinyangarakata ukijifanya mroho na kutaka kula peke yako, shibe itakutokea puani. Tusisahau yaliowakuta GHddafi na Saddam Hussein. Kosa lao lilikwa ni kukata mirija tu.
Tanzania inatakiwa tusikurupuke, diplomasia ya hali ya juu itembee, na naamini tuna wana diplomasia waliobobea ndani ya Tanzania.
Kweli mkuu umenikumbusha gas ya MTR. Ubeberu si mchezoMradi utayeyuka na utafiti mpya utaonesha hakuna mafuta yoyote hapo walikuwa wanatania tu, ndipo stori itageuka historia kama gesi ya Mtwara.
Mpeni kibajaji achambue hoja hapo!Salaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira.
Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani azimio hilo walilodai ni kiwango cha juu cha Ukoloni Mamboleo na ubeberu dhidi ya Uhuru wa Uganda na Tanzania
View attachment 2358292
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Kabaale – Hoima Nchini Uganda kwenda kwenye peninsula ya Chongoleani Mkoani Tanga Nchini Tanzania, ni Mradi wenye urefu wa jumla ya kilomita 1443 kati ya hizo kilomita 296 zipo Uganda na kilomita 1147 zipo Tanzania.
Bomba linapita katika mikoa 8 ya Tanzania Bara ambayo ni Kagera, Geita, Shinyanga, Tabora, Singida, Dodoma, Manyara na Tanga, vilevile linapita katika wilaya 24, kata 134 na vijiji zaidi ya 180.
Matokeo ya utafiti uliofanywa na kampuni za kimataifa za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi za TOTAL, TULLOW na CNOOC ulibaini uwepo wa mafuta ghafi takribani mapipa bilioni 6.5. Kutokana na ugunduzi huo imebainika uwezekano wa kuvuna mapipa kati ya bilioni 1.2 hadi 1.7. Kutokana na mahusiano ya ushirikiano ya muda mrefu na faida za kupitisha bomba nchini Tanzania Serikali ya Uganda na wawekezaji wa mkondo wa juu waliamua kujenga mradi huu kupitia Tanzania kutoka Hoima Uganda hadi Bandari ya Tanga.
Lengo la Mradi
Lengo la mradi huu ni kuwezesha mafuta yatakayozalishwa Uganda kusambazwa katika soko la ndani na sehemu inayobaki kuuzwa nje kwenye soko la kimataifa kupitia bomba la mafuta.
Gharama za kukamilisha ujenzi wa mradi wa bomba zinatarajia kufikia takribani Shilingi Trilioni 8 za Kitanzania. Bomba hili lilitarajiwa kujengwa na kuendeshwa na kampuni za TOTAL ya Ufaransa, CNOOC ya China na TULLOW ya Uingereza, kwa ubia na Kampuni ya Taifa ya Mafuta ya Uganda (UNOC) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kwani sasa hauna vikwazo vya kuingia huko kama Mtanzania? Enzi zetu, tuliosafiri zamani tulikuwa tunaenda nchi takriban zote Ulaya bila visa, leo yanawezekana hayo kwa PP ya Tanzania? Jiulize kwanini?Mbali ya kuwa vilaza, inawezekana pia kuwa wanaogopa kuwa wakionekana kuwa kimbelembele wanaweza kuwekewa vikwazo, wao wenyewe na watoto wao, mithili ya 'oligarchy' wa Urusi, wasikanyage huko majuu. Hili linawaogopesha sana wengi wao; mbali ya kutokuwa na uwezo wa kujenga hoja zinazoeleweka juu ya jambo lenyewe.
Kiukweli jiwe ndio alaumiwe Sana, wagombea ubunge wenye IQ kubwa aliwafanyia figisu, na uchaguzi kwa ujumla aliuharibu mtokeo yake kupata baadhi wabunge ambao weupe kichwaniMwana FA au Babu Tale wataweza kuongea nini kwenye hili? Ila yule mwendazake alituweza kwakweli
Sana mkuu nadhani hata angekuepo wakasitisha yeye angeendeleza mradi kwa nguvuWatakubali tu juu ya Chuma. Yule jamaa alikuwa mwamba tulipata hasara sana kumpoteza
Bunge la ulaya ama limejaa vilaza vyeti feki wa ulaya au limejaa njaa. Yaani kila mwenye hela anaweza kupisha lake.Salaam Wakuu,