Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Dah! Aisee mimi watani na waogopa sana, wana kuhaibisha hata mbele za watu, nimitaniaga mtani wangu watu wakacheka ilivyofiza zamu yangu mbele za watu alinitania huo utani, hadi leo siwatanii tena
 
Dah! Aisee mimi watani na waogopa sana, wana kuhaibisha hata mbele za watu, nimitaniaga mtani wangu watu wakacheka ilivyofiza zamu yangu mbele za watu alinitania huo utani, hadi leo siwatanii tena
Doooh, hatari sana baba la baba
 
Sisi wahaya watani wetu huwa ni cha mtoto kwetu
 
Wazaramo wanavyoongeaga mkuu nyie mtakuwa ni balaa
Zaramo people of the eastern coast of Tanzania are talkative like no other. I used to have a friend of mine who belonged to that kind of tribe.
 

Sasa mtani wangu kama bia uliumia ivo angekuja kula au kumtongoza mkeo ingekuwa [emoji23][emoji23]Kwanza MJARUO gani bado huko unatanga tanga wajaruo wenzio wote wako Marekani (USA) we uchoyo tu unakuta hata kisumu upajui 🤣🤣🤣kwenda huko
 
Jamani utani mzuri ila uwe unauweza kuna MKURYA alikuwa anapenda kunitania sana mara wahaya hivi mara vile mara mhaya Toleo la Mwisho wahaya wenzio Maprofessa na mkalia kimya. Cku akaja ooh me mwenzio Sajent wa jeshi alafu mtu mzima kweli nikamwangalia nikatema nikamuuliza sasa na iyo kazi kazi gani hata ukimfundisha MBWA anaweza Ebu nitolee huko kazi kazi kazi ya mbwa tu hiyo unachomzidi ni mshahara 🤣🤣🤣
Nilikula mtama wa Mbasha mdgo nikazimia toka siku hiyo anitanii
 
hahahahahaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣 mtani ninakuona unaanza kuliamsha dude hahahaaaaaa au sio???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…