Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Kuna jamaa mmoja nilikuwa jirani naye siku ya msiba wa mdogo wake nilisikia anaambiwa akapake miguu mafuta imekauka jamaa alivaa pensi na mtisheti mrefu kama wa lemutuz ambazo ni nguo anazoshinda nazo kila siku ni kweli miguu yake inaonekana haijawahi kupakwa mafuta siku ile aliporushiwa hilo dongo ikabidi nijitenge na kundi nikaenda kuchekea kando

Hahahaaaaaaa eti mtisheti kama lemutuz
 
Jamani utani mzuri ila uwe unauweza kuna MKURYA alikuwa anapenda kunitania sana mara wahaya hivi mara vile mara mhaya Toleo la Mwisho wahaya wenzio Maprofessa na mkalia kimya. Cku akaja ooh me mwenzio Sajent wa jeshi alafu mtu mzima kweli nikamwangalia nikatema nikamuuliza sasa na iyo kazi kazi gani hata ukimfundisha MBWA anaweza Ebu nitolee huko kazi kazi kazi ya mbwa tu hiyo unachomzidi ni mshahara 🤣🤣🤣
Nilikula mtama wa Mbasha mdgo nikazimia toka siku hiyo anitanii
🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ni msukuma, mwaka 2003 kuna mshenzi mmoja wa kizigua aliniambiaga "we ms*nge hadi umri huo bado uko kwenu, wiki ijayo naleta mahari kwa baba yako nikuoe" ule utani uliniuma sana maana aliongea mbele za watu na wakashangilia sana, nikasema sawa huyu mjinga mi sintomtania......... Wiki mbili baadae nikamtafuna mke wake
 
Hivi kuna kabila lenye Watani wengi tofauti na Wasukuma?
 
Back
Top Bottom