Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

Mimi ni msukuma, mwaka 2003 kuna mshenzi mmoja wa kizigua aliniambiaga "we ms*nge hadi umri huo bado uko kwenu, wiki ijayo naleta mahari kwa baba yako nikuoe" ule utani uliniuma sana maana aliongea mbele za watu na wakashangilia sana, nikasema sawa huyu mjinga mi sintomtania......... Wiki mbili baadae nikamtafuna mke wake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ubaya ubaya
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ubaya ubaya
Noma sana mkuu. Ila mzee baba hili cheko kama lote vile maaana sio kwa emoji hizo
 
Back
Top Bottom