Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Ngoja waje wazee wa kupinga uone mapovu!
na bado, ni muda du itakuwa zaidi ya ulaya na tutaanza toa misaada!
 
Wapo kule wanasema aliyekuwa mkurugenzi wa TBC kaonewa.
Wewe mwenyewe huamini hizo takwimu za kipuuzi. Unajua zimejumuisha nini zikawekwa hapo au unachekelea tu kwa vile umeona No.1 na mbele yake kuna Tanzania? Uchumi gani unaouona wewe umekuwa? Kwa maisha yapi ya Watanzania yaliyoboreka hadi uje utukane watu hapa? Kawaulize waliokutuma maana ya "uchumi jumuishi"
 
Umesha toka Mbugani karibu
 
Kwani comment yangu nimetukana mtu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…