Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!

Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!

Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.

26991597_1509722709125000_4043063589603902656_n.jpg
Ngoja waje wazee wa kupinga uone mapovu!
na bado, ni muda du itakuwa zaidi ya ulaya na tutaanza toa misaada!
 
Wapo kule wanasema aliyekuwa mkurugenzi wa TBC kaonewa.
Wewe mwenyewe huamini hizo takwimu za kipuuzi. Unajua zimejumuisha nini zikawekwa hapo au unachekelea tu kwa vile umeona No.1 na mbele yake kuna Tanzania? Uchumi gani unaouona wewe umekuwa? Kwa maisha yapi ya Watanzania yaliyoboreka hadi uje utukane watu hapa? Kawaulize waliokutuma maana ya "uchumi jumuishi"
 
Umesha toka Mbugani karibu
 
Kwani comment yangu nimetukana mtu mkuu?
 
Back
Top Bottom