Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Ngoja waje wazee wa kupinga uone mapovu!World Economic Forum imeitaja Tanzania kuwa nchi namba moja kwa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy) katika nchi za Africa, ikishika namba 48 katika Emerging Economies duniani!
Pongezi za dhati zimfikie rais wetu Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuishi na kutekeleza ahadi alizotoa kwa watanzania mwaka 2015 alipoahidi kuhakikisha UCHUMI WA TANZANIA UNAMILIKIWA NA WATANZANIA WOTE NA SIO WATU WACHACHE TU!
Hongera kwa watanzania wote kwa kuendelea kuchapa kazi na kuhakikisha uchumi wetu unakua, lakini pia kwa sekta zote kuzidi kushirikiana ili kuleta maendeleo kwa watanzania wote.
![]()
na bado, ni muda du itakuwa zaidi ya ulaya na tutaanza toa misaada!