joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ujamaa maana yake ni usawa, kufanya kazi pamoja na kugawa kile kinachopatikana kwa usawa kulingana na mahitaji, kupiga vita aina yoyote ya kujikusanyia mali kwa njia za kifisadi, kutotumia ofisi za serikali kujipatia mali zisizohalali, ndiyo sababu leo hii Tanzania inakuwa ni kioo barani Afrika katika inclusive Economy wakati Kenya wachache ni matajiri na millions wanakufa kwa njaa. UJAMAA HOYEEEEEEEEEHee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa