Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Tanzania namba 1 Africa mwaka 2018 katika UCHUMI JUMUISHI (Inclusive Economy)

Hee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa
Ujamaa maana yake ni usawa, kufanya kazi pamoja na kugawa kile kinachopatikana kwa usawa kulingana na mahitaji, kupiga vita aina yoyote ya kujikusanyia mali kwa njia za kifisadi, kutotumia ofisi za serikali kujipatia mali zisizohalali, ndiyo sababu leo hii Tanzania inakuwa ni kioo barani Afrika katika inclusive Economy wakati Kenya wachache ni matajiri na millions wanakufa kwa njaa. UJAMAA HOYEEEEEEEEE
 
Practically kuna kitu inaitwa usawa dunia hii,mbona it failed long time ago,,kwenye utekelezaji na kwenye theories,mengine ni ngonjera
 
Hee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa
Naona umewaza kweli. Under ujamaa, it is expected kwamba economy itakuwa inclusive. Hio ndio reason ya Nyerere kufanya Tanzania iwe ujamaa yaani socialist. Sasa inashangaza kuona WaT.Z wengine wakirukaruka kuwa T.Z ni inclusive. I mean, what did u expect with a socialistic economy, come on!
 
Hakuna cha ujamaa wala ubepari, kama ni hivyo kina china wangekua mbele ya marekani na nchi za magharibi.

Pongezeni Tz kwa kuongoza katika inclusive development, endeleeni vivyo hivyo.

Lakini tafadhali, muache kujilinganisha na Kenya Ambayo hata haiko kwa list

Kuna pillar saba ambazo wametumia kama indicators, kila pillar iko na sub-pillar, alafu wamechukua hizo performance ya kila mwaka toka 2012-2016... Ndo wametumia kufanya ranking... Kenya pamoja na Singapore,cambodia na morrocco hazikua na data zote kwahivyo hawakuwekwa kwa ranking

wp_ss_20180129_0009.png
wp_ss_20180129_0010.png
 
Hata hivyo, ndani ya PDF kuna link imepeanwa ambayo ukienda unapata ile raw data ambayo imetumiwa kutoa hii summary report, kuna data ya kila pillar na sub pillar ya hadi 2017, ukilinganisha hizo indicators, kuna nchi 16 zimewekwa kwa category moja ikiwemo Kenya,Tz,UG,Rwanda,...etc...
Ukilinganisha Kenya vs Tz kwa kila main category, Tanzania imeshinda Kenya only in one category! Which means kama Kenya ingekua na data ya miaka yote, we would probably be at least top 3 in that ranking.

Compare the points of each pillar Kenya vs Tz (0 bieng worst, 7 bieng best)

Kenya
wp_ss_20180129_0002.png
wp_ss_20180129_0004.png

Tanzania

wp_ss_20180129_0003.png
wp_ss_20180129_0007.png
 
Hata ukiangalia kwenye ranking ya each pillar for the year. Kenya is much more consintent, si kubahatisha. The only time kenya iko nje ya top four in only 2 out of 7 pillars, (with one pillar ranking above top 5) while Tz inajipata nje ya top four in 5 out of 7 pillars,( with four pillars above top 5) ..meaning iko ndani ya top 4 in only two pillars. Which further goes to show had Kenya had all its historical data since 2012, it would have probably been ranked at the top echelon

ke.jpg
Tz.jpg
 
Hee kuna watu hadi Leo hii wanafurahia Sera zilizoshindwa za ujamaa? Ukifaulu kuwa inclusive kwenye free market ni mafanikio makubwa maana under market economy uchumi unakua na fursa zinafunguka but under closed economy kila kitu kinakufa
Njaaa
Unemployment
Food shortage
Tribalism..deal na hivyo kwanza tuache tusherehekee umoja na ujamaa wetu.
 
Hujui unachoongea,kwenye uchumi wa soko hakuna equality ila kuna equity practically the latter does not exist neither kwenye ujamaa nor kwenye uchumi wa soko
Acha kujifunza terminology za form one, kwenye uchumi tunapozungumzi usawa wa jamii maana yake to get what you deserve, and to protect thevweak ones, that takes you to equity. Ukiangalia hiyo list ya Inclusive Development Index, nchi zinazoongoza ni nchi za magharibi zilizoendelea, hii inamaana kwamba huwezi kusema nchi imeendelea kama uchumi unamilikiwa na wachache kama ilivyo Kenya au South Africa.
 
Back
Top Bottom