Azam si wataonyeshaaa
mishe ndio zenyewe...tutakua wote siku hiyooo...hope hata anti@Mamndenyi tutakua nayeMkuu mimi ni mdau mkubwa wa soka letu, hivyo nitakuwepo taifa...
Mishe mishe zimekuwa nyingi mkuu...
Kuisapot ni LAzima ninunue ticket ya 50000?
R u guys serious au mnataka kupiga deal tu?
T doesn't make sense kwani jikinunua ya 7000 sisuport?
Wenzenu Zimbabwe mechi ya marudiano waliweka kiingilio nusu dola nyie mnazingua tu
What's the logic ya mm kununua ticket ya 50?
Naomba nilipie hiyo elfu hamsini. Nitakushukuru snana.
kuna utaratibu mwingine wowote wa kununua tiketi ukiachana na huo?
Ni elfu hamsini kwa VIP.
Kawaida ni shs. Elfu saba. Lipia kwa mtindo huo huo wa mpesa.
Tujitoe kuishangilia timu yetu.
Tanzania ni yetu TAIFA STARS NI YETU.
hii timu tumeishangilia sana kama mbuzi wetu kuliwa na waganga wameshaliwa sana hata mataifa huru ya afrika imeshindikana. Anyway me bahili sana labda wangefanya 1,000/=
Jirani, utakwenda twende wote?
Kulichangia litimu linalofungwa hovyo mtu unatakiwa uwe na moyo wa Kibrazil. Hiyo buku 50 napiga gines zangu kadhaa na wadau. Ukipiga gines unachangia mishahara ya walimu na madaktari wetu na dawa za bure kwa watoto na wazee wetu.....Hii kampeni imeanza lini?
Na kwa nini iwe ni bei moja tu ya 50,000/=?
Kama ni kampeni kweli bali nahisi harufu ya ufisadi maana hawa Taifa Stars tayari wanaudhamini na kampuni ya TBL.
Sasa uwanjani nitaonyesha meseji mgambo watanielewa? Hii ni njia nyingine ya RUSHWA nakwambia wajanja wataitumia vilivyo kwa kukusanya vichwa vyao na kuvipitisha pale kwa meseji hewa za m.pesa
Nakusubiri Ubungo twende pamoja nikakuonyeshe jinsi walafi watakavyo kuwa wanapiga pesa.Uwezekano wa kuibiwa ni sifuri kwa kuwa kila tiketi inaponunuliwa TFF wanaona kwenye system na verification itafanyika.
Karibu tuishangilie timu ya nyumbani mkuu.
Viva TAIFA STARS.