Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kwa mtindo huu kesho utalaamu kuwa mpira wetu hausongi mbele;
Vijana wakiwa uwanjani ni wawakilishi wa taifa letu,
wanatuwakilisha watanzania wote;
wanahitaji sapoti, wanahitaji kushangiliwa;

Hata nchi za wenzetu wana tv tena screen kubwa sana
ila uwanjani pia hawakosi kwa ajili ya kuwatia vijana moyo.

Azam si wataonyeshaaa
 
Mamndenyi;

Kuisapot ni LAzima ninunue ticket ya 50000?
R u guys serious au mnataka kupiga deal tu?
T doesn't make sense kwani jikinunua ya 7000 sisuport?
Wenzenu Zimbabwe mechi ya marudiano waliweka kiingilio nusu dola nyie mnazingua tu
What's the logic ya mm kununua ticket ya 50?
 
Kwann kununua ticket ya 50 ndo kuisupport?
Nikinunua ya kawaida nakua nimemsupport nan I?
wenzenu wanashusha bei ili wadau wengi wJitokeze nyie mnataka kupiga deal
That's insane
Zimbabwe walishusha bei mpaka nusu dola nyie mbataka 50 r u guys smart kweli?
Shame on u na malinzi wenu
 
Unaweza nunua ya Tsh.7,000/
ni uamuzi wako mkuu;
Ni uzalendo tu;
Karibu sana.

Kuisapot ni LAzima ninunue ticket ya 50000?
R u guys serious au mnataka kupiga deal tu?
T doesn't make sense kwani jikinunua ya 7000 sisuport?
Wenzenu Zimbabwe mechi ya marudiano waliweka kiingilio nusu dola nyie mnazingua tu
What's the logic ya mm kununua ticket ya 50?
 
Dada Yangu Mamndenyi Asante sn kwa taarifa Ngoja tujiandae kwenda kuwapa sapoti vijana wetu!

Viva Tanzania Viva Taifa Stars!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi;

kuna utaratibu mwingine wowote wa kununua tiketi ukiachana na huo?
 
Ni elfu hamsini kwa VIP.

Kawaida ni shs. Elfu saba. Lipia kwa mtindo huo huo wa mpesa.

Tujitoe kuishangilia timu yetu.
Tanzania ni yetu TAIFA STARS NI YETU.

hii timu tumeishangilia sana kama mbuzi wetu kuliwa na waganga wameshaliwa sana hata mataifa huru ya afrika imeshindikana. Anyway me bahili sana labda wangefanya 1,000/=
 
Usikate tamaa mapema hivyo;
Kwani ni nani alijua kuwa ujeruman watatwaa kombe la dunia?
hii timu tumeishangilia sana kama mbuzi wetu kuliwa na waganga wameshaliwa sana hata mataifa huru ya afrika imeshindikana. Anyway me bahili sana labda wangefanya 1,000/=
 
Arusha kuna mwamko wa kila kitu mkuu hongereni sana,
Mimi nilijua ni siasa tu, kumbe mko vizuri pande zote;
Karibuni tuishangilie TAIFA STARS.
Mamndenyi kwanini jamani hawajaleta mchezo huu hapa A town??

Ngoja niangalie chanzi kiofisi kama wataniruhusu nije na wadau kadha!

Filipo, Mungi, Mzee wa Rula & marejesho kaeni mkao nikipata chanzi nawashtua tuondoke na usafiri wa Jackbauer bila shaka!
 
Mamndenyi;

Sasa uwanjani nitaonyesha meseji mgambo watanielewa? Hii ni njia nyingine ya RUSHWA nakwambia wajanja wataitumia vilivyo kwa kukusanya vichwa vyao na kuvipitisha pale kwa meseji hewa za m.pesa
 
Hii kampeni imeanza lini?

Na kwa nini iwe ni bei moja tu ya 50,000/=?

Kama ni kampeni kweli bali nahisi harufu ya ufisadi maana hawa Taifa Stars tayari wanaudhamini na kampuni ya TBL.
Kulichangia litimu linalofungwa hovyo mtu unatakiwa uwe na moyo wa Kibrazil. Hiyo buku 50 napiga gines zangu kadhaa na wadau. Ukipiga gines unachangia mishahara ya walimu na madaktari wetu na dawa za bure kwa watoto na wazee wetu.....

Hili ndilo neno la Mungu!!
 
Sasa uwanjani nitaonyesha meseji mgambo watanielewa? Hii ni njia nyingine ya RUSHWA nakwambia wajanja wataitumia vilivyo kwa kukusanya vichwa vyao na kuvipitisha pale kwa meseji hewa za m.pesa

Uwezekano wa kuibiwa ni sifuri kwa kuwa kila tiketi inaponunuliwa TFF wanaona kwenye system na verification itafanyika.

Karibu tuishangilie timu ya nyumbani mkuu.
Viva TAIFA STARS.
 
Uwezekano wa kuibiwa ni sifuri kwa kuwa kila tiketi inaponunuliwa TFF wanaona kwenye system na verification itafanyika.

Karibu tuishangilie timu ya nyumbani mkuu.
Viva TAIFA STARS.
Nakusubiri Ubungo twende pamoja nikakuonyeshe jinsi walafi watakavyo kuwa wanapiga pesa.
 
Back
Top Bottom