Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Nakusubiri Ubungo twende pamoja nikakuonyeshe jinsi walafi
watakavyo kuwa wanapiga pesa.[/QUOTE
Mi nitakuwa nimepiga kambi maeneo ya uwanjani. Njoo nitakuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusubiri Ubungo twende pamoja nikakuonyeshe jinsi walafi
watakavyo kuwa wanapiga pesa.[/QUOTE
Mi nitakuwa nimepiga kambi maeneo ya uwanjani. Njoo nitakuwepo.
Tafadhali sana changia sasa;
Taifa Stars ni yetu,
Inahitaji sapoti yetu pia;
Karibu sana.
Taifa Stars inachohitaji ni washangiliaji tu; kodi zenu wananchi zimetosha; haya yanayoletwa eti muichangie ni usanii tu; jukumu tulimwachia Bishanga sasa atueleze pesa za kuikimu Taifa Stars zinakwenda wapi hadi leo watapeli wananchi kwa viingilio vya kisanii?? Brazil tumejifunza mengi na tutamwaga hadharani ili tuhahakikishe tunachukua kombe la Afrika kwa kuanzia tu mengine mengi mazuri yatafutia chini ya sera makini za CCM.
Imekaa vizuri hii.
Poa utanikolu.
Unaweza nunua ya Tsh.7,000/
ni uamuzi wako mkuu;
Ni uzalendo tu;
Karibu sana.
My problem is kwann 50 thousands na kwann mpesa kwann slogan isiwe tujitoe kwa wingi kuwapa support?
Mamndenyichama kila kona wewe unaibiwa tu;
Ngoja waniibe na mimi na utatii akili yako;
Twende tukaishangilie timu yetu;
Hatutaki siasa huku viwanjani.
toa maelezo ya kiufundi mkuu kwann unataka ifungwe je mapungufu yako wapi?