Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tafadhali sana changia sasa;
Taifa Stars ni yetu,
Inahitaji sapoti yetu pia;

Karibu sana.

Taifa Stars inachohitaji ni washangiliaji tu; kodi zenu wananchi zimetosha; haya yanayoletwa eti muichangie ni usanii tu; jukumu tulimwachia Bishanga sasa atueleze pesa za kuikimu Taifa Stars zinakwenda wapi hadi leo watapeli wananchi kwa viingilio vya kisanii?? Brazil tumejifunza mengi na tutamwaga hadharani ili tuhahakikishe tunachukua kombe la Afrika kwa kuanzia tu mengine mengi mazuri yatafutia chini ya sera makini za CCM.
 
Last edited by a moderator:
chama kila kona wewe unaibiwa tu;
Ngoja waniibe na mimi na utatii akili yako;

Twende tukaishangilie timu yetu;
Hatutaki siasa huku viwanjani.

Tuwe pamoja kuisapoti timu yetu ya Taifa
Mamndenyi nitakupitia twende!
 
Last edited by a moderator:
kweli bora tufungwe yani timu ye2 haijajiandaa kimashindano hata tukikolify kwa kubahatisha tataenda kuaibike tu kama bra7 bora tufungwe tusikolify tujipange vizuri ili tukienda twende kuwin ehhhhhhhhhhh
timu ye2 ikikolify tutapoteza ela bure kwa kushiriki na kutolewa kwa aibu bora tufungwe yani ntafurahiiiiii
 
chama kila kona wewe unaibiwa tu;
Ngoja waniibe na mimi na utatii akili yako;

Twende tukaishangilie timu yetu;
Hatutaki siasa huku viwanjani.
Mamndenyi
kushangilia lazima; huu usanii wa Bishanga na kikosi chake cha kisanii; wizara tumekata fungu la nguvu kuikimu Taifa Stars tunachoomba ni watanzania kuishangilia Taifa Stars; wa kuibiwa nitakuiba mwenyewe sijaona humu JF wa kumiliki kifaa kama wewe
 
Unataka kusema hat kiingilio wizara itatulipia?

Hayo ya ndoa njoo pm.
 
Last edited by a moderator:
Kahab a wewe.
Nyie ndo wabeba mabomu.
Wewe ni mzigo hata kwenye familia yenu.
 
toa maelezo ya kiufundi mkuu kwann unataka ifungwe je mapungufu yako wapi?
 
stars ibanduliwe tu haina faida yoyote..wachezaji wako busy ku record movie za ngono watacheza mpira saa ngapi
 
Back
Top Bottom