Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Nimeona hapa ITV, wametoka sare ya mbili mbili, ila huyu hemed Kivuyo ni very interested ktk kuripoti michezo
 
Kesho naitisha press conference kujitoa kushangilia timu ya taifa.
.
 
Hivi tanzania tumerogwa nn mbona timu ye2 mdebwedo sana!!! Ni liji nasi 2tafurahia AFCON pumbaaaavuuu!! Wachezaj cjui wanamimba miguuni mmmhhh!!
 
enyi wachezaji mjitahidi mshinde mkifungwa tunawasubiri uwanja wa ndege na viboko tunachapa mmojax2 sasa tumechoka alaah!!!!
 
Hivi bado mkuu una imani kwel starz kutoka kwa mambas!!!...
 
wadau nimelazimika kusema haya.Maana timu yetu inatutia hasara kila siku.watu wanacheza kizembe eti wanawakilisha nchi.Hivi tunadai wafanyakazi hawana uzalendo.Hawa si ndiyo walishazika uzalendo kabisa.
 
ndg ndibalema SIASA NDO KILA KITU katika binadamu.tafakari na chukua hatua
 
Nashangaa ni rais tu anapata ma tuzo kila mara sijui ya nini lkn raia hawapati.
kule commonwealth tumeboronga. taifa stars tumeboronga.

Wakati Kenya kuna kalenda ya michezo huku kwetu watu wa kwenda kushindana na USAIN BOLT wamekaa kambini kwa mazoezi wiki mbili. I ask myself is Mr. Filbert Bayi doing this delibarately or kuna kitu imefichamana.

IF YOU DO NOT PLAN. SURELY YOU PLAN TO FAIL.
 
waangalie awamu ya kwanza nchi ilivyopata mafanikio.ni aibu kujitambulisha km mtanzania
 
Mozambique 2-1 Tanzania... Mbwana Samata 77
Josmar 45+2
Dominguês 83
 
Hi nchi bana,always nasema ukisha haribu system moja inayo control zngne kila k2 kitakuwa hovyo 2.yani alye 2roga ajafa
 
Hapa kilingeni leo naomba kujua wachezaji wa Taifa Stars wanalipwa kiasi gani kwa mwezi?

Na ni mchezaji gani ktk vilabu vyetu analipwa zaidi kuliko wengine? Na analipwa sh.ngapi?

Tujue haya maana tunawalaumu sana wachezaji,je wameridhika na malipo?
 
Kamuulize refa mganda aliyechezesha mechi ya Jana msumbiji atakuwa na majibu
 
Kamuulize refa mganda aliyechezesha mechi ya Jana msumbiji atakuwa na majibu

refa na waamuzi hawakuwa fair kama wale waarabu waliochezesha taifa aisee, mambas wanajua kucheza na waamuzi
 
Back
Top Bottom