wadau nimelazimika kusema haya.Maana timu yetu inatutia hasara kila siku.watu wanacheza kizembe eti wanawakilisha nchi.Hivi tunadai wafanyakazi hawana uzalendo.Hawa si ndiyo walishazika uzalendo kabisa.
Nashangaa ni rais tu anapata ma tuzo kila mara sijui ya nini lkn raia hawapati.
kule commonwealth tumeboronga. taifa stars tumeboronga.
Wakati Kenya kuna kalenda ya michezo huku kwetu watu wa kwenda kushindana na USAIN BOLT wamekaa kambini kwa mazoezi wiki mbili. I ask myself is Mr. Filbert Bayi doing this delibarately or kuna kitu imefichamana.