Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Sisi watanzania siyo wazalendo kabisa, ingekuwa inacheza football club yoyote ile, ungeona special thread ya club husika inatrend kwenye jukwaa hili la sports, timu yetu ya Taifa inacheza, tena kwenye mashindano makubwa Afrika nzima, Taifa Stars special thread haitrend wala nini.
Huu siyo uzalendo kabisa, tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo.
 
Kuna vitu vya msingi vya kua na uzalendo. Hii tumemuachia Makonda
Sisi watanzania siyo wazalendo kabisa, ingekuwa inacheza football club yoyote ile, ungeona special thread ya club husika inatrend kwenye jukwaa hili la sports, timu yetu ya Taifa inacheza tena kwenye mashindano makubwa Afrika nzima, ila wala Taifa Stars special thread haitrend wala nini.
Huu siyo uzalendo kabisa, tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo.
 
Ikishinda ni juhudi za sisiemu, wakipigwa kimya. Utadhani kile kikundi cha wasanii wa CCM.
Wanasahau football ni serious business.

Hii tumewaachia Chama cha mapinduzi
Wanasiasa wanawasababishia wachezaji wetu wa Taifa Stars wakose msimamo, leo wako pamoja nao, kesho hawana habari nao.
 
Ikishinda ni juhudi za sisiemu, wakipigwa kimya. Utadhani kile kikundi cha wasanii wa CCM.
Wanasahau football ni serious business.
Hii tumewaachia Chama cha mapinduzi
Kwa staili hii tutabaki kuwa wasindikizaji tu.
 
Sisi watanzania siyo wazalendo kabisa, ingekuwa inacheza football club yoyote ile, ungeona special thread ya club husika inatrend kwenye jukwaa hili la sports, timu yetu ya Taifa inacheza, tena kwenye mashindano makubwa Afrika nzima, Taifa Stars special thread haitrend wala nini.
Huu siyo uzalendo kabisa, tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo.
Tatizo usiasa na ubiashara umeme wamekata na king'amuzi kimoja ndio kinaonesha sasa uzalendo utokewapi waache waendelee hivyo hivyo tuone watafika wapi!
 
Ikishinda ni juhudi za sisiemu, wakipigwa kimya. Utadhani kile kikundi cha wasanii wa CCM.
Wanasahau football ni serious business.

Hii tumewaachia Chama cha mapinduzi
Kumbe hushabikii kwa matatizo yako binafsi...
 
Sio matatizo, ni mitazamo. Jifunze kutofautisha mtazamo na matatizo.
Kwani wewe kila kilicho mbele yako unashabikia?
Ni matatizo....Uzi wa national team unaanza kuponda ccm...hulioni jukwaa la siasa..
 
Acha wenge wewe. Nimeponda CCM au Nimeponda kuingiza CCM kwenye mpira. Kwahiyo inaposhinda alafu wanasema ni juhudi za CCM ni sawa?
Ni matatizo....Uzi wa national team unaanza kuponda ccm...hulioni jukwaa la siasa..
 
Back
Top Bottom