Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliweka spirit ya wananchi kuipenda timuMpaka leo bado namkumbuka maximo!!!!!!
AgreedSawa lakini inatuvunja moyo sometimes yote haya ni TFF..
Hivi kwa walivyo haribu uwanja sababu ya kiburi chao, tuwape kura? Halafu nani atagharamia matengenezo ya uwanja? Ccm au tff au serikali?Mwenye kikosi kipya kilicho tangazwa havi karibuni akitupie.