Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Mechi ya Stars na DRC ni tarehe 11 Nov au 13 Nov??Kuna friendly yoyote?
 
Mechi ya Stars na DRC ni tarehe 11 Nov au 13 Nov??Kuna friendly yoyote?


Hivi Taifa Stars haina Twitter account au page yoyote ya Social media? Huko ndio kulikuwa ni sehemu ya kupata taarifa na data kamili.
 
Tunasubiri sasa tuone wakati ule uganda walitubebe ama tuliwafunga kikweli kweli
 
Mamtu timu inacheza leo hawaja i promote vya kutosha wapo bussy na kuchangisha michango isiyoeleweka inakwenda wapi eti NANI ZAIDI. Hivi walishaona sisi mashabiki ni mazuzu wa kujazwa upepo kijinga na kutoa fedha zetu? Afadhali waliosema wanajenga uwanja , maandazi wengine wanajinasibu kuwa wana fedha hawajengi uwanja sasa nitoe fedha zangu za nini?
 
Bora tuite Ile timu ya wanawake iwe na special thread Hawa wanaume kila siku wanatuzingua
 
bababilalisports~p~CiDWHi4K9kw~1.jpg
 
Back
Top Bottom