Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

jamani mechi ya leo tutapita kweli?
 
Wakuu hii mechi ya leo itaoneshwa au ndo tusubir matokeo
 
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania almaarufu kama Taifa Stars, muda mfupi ujao itajitupa uwanjani kupambana ugenini dhidi ya Zimbabwe. Huu ni mchezo wa marudiano katika hatua za awali za Kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika. Katika mchezo wa kwanza uliorindima Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam, Taifa Stars iliizaba Zimbabwe bao 1-0-bao la John Raphael Bocco.

Leo hii,Taifa Stars itahitaji sare au ushindi wa aina yoyote ili kuweza kuendelea na hatua inayofuata. Mechi husika itaanza saa kumi kamili jioni kwa saa za hapa nyumbani. Watanzania tuiombee na kuipa nguvu Taifa Stars ili iweze kusonga mbele.

cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
tunataka jezi ambazo ambazo zitakuwa na mchanganyiko mzuri wa rangi za bendela ya taifa cc jamali malinzi
 
Hivi vyombo vya habari vya taifa Gina kazi gani?
 
Eti hadi karne hii bila aibu mpira unatangazwa Redioni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…