Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Dakika ni ya 39,Taifa Stars inapambana kweli kweli.Mabao ya leo bado ni 1-1. Mabao ya jumla tunaongoza 2-1.Nadir Haroub Cannavaro analiongoza jahazi vyema hadi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindi wa mechi ya leo atacheza na Msumbiji....Nadhani mnaijua vyema.
Kurusha mechi live wanajf sio rahisi kihivyo mnavyodhani. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tusiwalaumu TBC
N:B TBC-Redio wanarusha matangazo.
Huku ndio kumegunduliwa dhahabu.
Thanks
ndio hata mimi npo machmbon muda huu.
wanasubiri kombe la dunia ambako hakuna timu yetu ya taifaNi dakika ya 13 goli limeingia na siyo dakika ya 3,hawa tbc kwanini hawaonyeshi huu mpira?
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?Kurusha mechi live wanajf sio rahisi kihivyo mnavyodhani. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tusiwalaumu TBC
N:B TBC-Redio wanarusha matangazo.
naomba frequency zao mkuu!
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?
Huku ndio kumegunduliwa dhahabu.
Azam TV wapo hewani na mpira ni half time, matokeo 1-1.Wakuu hii mechi ya leo itaoneshwa au ndo tusubir matokeo
Uko wapi?