Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Hivi Samatta yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo TBC wao kama wao hawataki waonyeshe kisa kuogopa kuingia hasara ama?Wamenunua mkuu kwa cash yao kama mtu binafsi.
Dakika ya ngapi sasa?
Wanapambana kweli kweli, tunataka Ushindi tu
kwahiyo TBC wao kama wao hawataki waonyeshe kisa kuogopa kuingia hasara ama?
Dakika ya 73 mkuu, Zimbabwe wanashambulia hatari.
Timu zikiwa zimelingana pointi na goal difference inangaliwa ninani alifunga mabao mengi akiwa ugenini otherwise ni mikwaju. hii inatumika hata ligi kuu ya Tanganyika. kama simba na Yanga wote wana goal difference sawa na wanalingana points inaangaliwa nani alinyukwa zaidi akiwa kwao basi ndio kilaza.Hivi wajuzi,Afrika kuna Sheria ya bao la ugenini?