Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

dk 82 duh naona kama mda hauendi
 
ingekuwa wale watoto wa U15 sasa hivi tungekuwa na goli 2...
 
Kesho nitanunua magazeti yote ya michezo,nami nifurahi. Waandishi msiwavimbishe vichwa wachezaji,mpira wetu bado.
 
Refa washa taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Wamemtoa mfungaji wao wa goli la kwanza,D. Phiri,kaingia Pasca Manhanga.
Ni dakika 7 za nyongeza,zimebaki kama 4
 
Back
Top Bottom