Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Ahsanteni wote tuliokuwa kwenye hii forum, nawapenda wazalendo wote wa nchi yangu.Hongereni vijana wa Taifa stars,hongera TFF,hongera kwa Watanzania wote.
 
Lesotho 2-1 Liberia

Liberia wakiwa nyumbani waliwafunga lesotho 1,sasa hapo kuna mda wa ziada au inakwaje?

lol! goli la liberia limefutwa
 
Lesotho 2-1 Liberia

Liberia wakiwa nyumbani waliwafunga lesotho 1,sasa hapo kuna mda wa ziada au inakwaje?

lol! goli la liberia limefutwa

Liberia wanafuzu sheria ya away goal.
 
Baada ya hapo tunacheza na nani?

Du, wabongo bwana! Mnatoa upadates za Star mnashindwa hata kusema magoli kafunga nani? Au hawaoneshi nani mfungaji au wazimbabwe wamejifunga wenyewe?
 
Du, wabongo bwana! Mnatoa upadates za Star mnashindwa hata kusema magoli kafunga nani? Au hawaoneshi nani mfungaji au wazimbabwe wamejifunga wenyewe?

Nadir 'cannavaro' Haroub na Thomas Ulimwengu
 
FIFA ranking: Zimbabwe 98
Tanzania 122, last updated 08 May 2014. Next release 06 Jun 2014. Lazima tupae,vijana wapate maulaji Ulaya.
 
FIFA ranking: Zimbabwe 98
Tanzania 122, last updated 08 May 2014. Next release 06 Jun 2014. Lazima tupae,vijana wapate maulaji Ulaya.

sidhani....hizi hatua za awali za kufuzu hazitambuliki na FIFA!
 
Jamal Malinzi amekuwa Rais, msemaji wa TFF, Katibu mkuu, nadhani soon atakuwa muhasibu, gate man na PS wake mwenyewe Rais.

Mkuu Vin Diesel jamaa anajitahidi sana kutoa updates humu, rais yeye, yan kila kitu ajitahidi awape watu wengine kazi kama hii ya mitandaoni sana hapa JF si wana ofisa wa habari TFF sijui kazi yake nini..
 
Last edited by a moderator:
Hongera taifa stars, hongera Tanzania, tusonge mbele sasa tukawafunge msumbiji mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom