MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Patrick na Salum waliteuliwa na kamati ya utendaji tokana na mapendekezo ya kamati ya ufundi,ndio utaratibu.Mwalimu Nooij hajalalamika kuhusu utendaji wao,hivyo naamini wako ok.
ulikwa na ushauri mbadala Malafyale?
Ok kwanza tupongezane Hongera sana kwa matokeo ya jana inatia moyo sana na juhudi zenu zinaonekana nikirudi kwenye swali la msingi nilitaka kujua vigezo vilivyotumika sababu naamini lazima viwepo nasema hivi ukizingatia Salum Mayanga hakuwa na timu ya kufundisha kwa muda mrefu na Patrick Mwangata hana record nzuri ya kuibua makipa bora na suala la mwalimu kutukujali uwepo wao mimi nadhani icho sio kigezo cha kudhani wapo OK ukizingatia walimu wengi wanaokuja kufundisha Afrika kuwa na msaidizi imara sio priority kwao lakini kuwa na msaidizi mzawa imara na mwenye vigezo ni jambo la muhimu kwetu kama nchi ili awe kwenye mipango hata ya badae kuwa kocha wa National Timu hivyo si tu awe mtu wa ndio mzee awe pia ni mtu mwenye ujuzi na uzoefu kama Charles Boniphas, Mwambusi, Kibadeni, Ali bushiri, Hemed Morroco, Adolf Richard .