Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakipiga moja inakuwaje!ngumu sana kwao kufunga magoli mawili kwenye hizo dk
Jamani SAMATTA yupo mnaoangalia LIVE???
Hongera sana Stars. Sasa ni kutazama mbali zaidi...
Jamal Malinzi amekuwa Rais, msemaji wa TFF, Katibu mkuu, nadhani soon atakuwa muhasibu, gate man na PS wake mwenyewe Rais.
ndo umeisha mkuu,hata wangepiga moja bado wangetoka maana tumewafunga ugeniniwakipiga moja inakuwaje!