Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kuna live update kwenye web ya caf. Tulifungwa dak 4 1st half.Mfungaji ni Danny Phiri
 
Zimbabwe 1-Tanzania 1. Tumepata goli la ugenini.
Agg. Zimb 1-Tanz 2
 
Ninaamini leo tutavuka hiki kihunzi, hata kwa sare. Timu yetu imezidi kuimarika kwa siku hizi za karibuni
 
Mshindi wa mechi ya leo atacheza na Msumbiji....Nadhani mnaijua vyema.
 
Mtangazaji wa Zimb: Zimbabwe has been stunned,Tanzania take the control of the game. Vijana wapo kazini.Taifa Stars wanatawala game.
 
Back
Top Bottom