Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Kuna live update kwenye web ya caf. Tulifungwa dak 4 1st half.Mfungaji ni Danny Phiri
 
Tumesawazisha dak ya 21 1st half.
 
Zimbabwe 1-Tanzania 1. Tumepata goli la ugenini.
Agg. Zimb 1-Tanz 2
 
Ninaamini leo tutavuka hiki kihunzi, hata kwa sare. Timu yetu imezidi kuimarika kwa siku hizi za karibuni
 
Mshindi wa mechi ya leo atacheza na Msumbiji....Nadhani mnaijua vyema.
 
Mtangazaji wa Zimb: Zimbabwe has been stunned,Tanzania take the control of the game. Vijana wapo kazini.Taifa Stars wanatawala game.
 
Mtuhabarishe wandugu wengine tuko huku Samunge hata hiyo azam hatuipati. hii timu ya taifa naipenda sana mungu uwe pamoja nasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…