Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuna kitu. Hao TBL hiyo hela wanayopoteza kwa Taifa Stars wangeongeza ktk Premier League yetu.
Positivity ndio kitu muhimu katika kuelekea mechi vs Msumbiji,kukata tamaa hakutatusaidia. tupambane.Hapo hakuna kitu. Hao TBL hiyo hela wanayopoteza kwa Taifa Stars wangeongeza ktk Premier League yetu.
Ahsante bato kwa uelewa,mechi ya jna nilikuwa uwanjani na baada ya mchezo nimeongea na mwalimu Maart,yuko positive na performance ya timu,pa kurekebisha atarekebisha,tujipange Msumbiji anafungika tena vizuri tu.Sawa tu,wafungwe kwenye mazoezi. Hata Burundi walitufunga 3 kabla ya kuwavurumisha Zimbabwe.
Positivity ndio kitu muhimu katika kuelekea mechi vs Msumbiji,kukata tamaa hakutatusaidia. tupambane.
Kituko kumbuka Afcon iliyochezwa Gabon hawa wabotswana walifuzu kucheza fainali hizo,na Afcon prequalifiers hizi majuzi wamemwondoa Burundi,si timu ya kubeza.yaani Botswana?
Ahsante,nashukuru adakiss23.........kwa hiyo unashauri tuvunje kambi?There is no way tutawafunga Mozambique. Quote my words
Kituko kumbuka Afcon iliyochezwa Gabon hawa wabotswana walifuzu kucheza fainali hizo,na Afcon prequalifiers hizi majuzi wamemwondoa Burundi,si timu ya kubeza.
Kila kukicha TFF tumekuwa tukisimangwa kwa kutotumia tiketi za elektroniki, leo tunazianzisha tunaambiwa ni mapema mno. Kipi hasa tunakitaka chickmaget?TFF hili swala la tiketi za kielektroniki mmeharakisha sana aisee! Harafu pia et ni lazima ununue kwa M-Pesa? Angalau mngesubiria basi mpaka mechi hii muhimu dhidi ya Mozambique ipite kisha ndo muanze..... Mmefeli!
Kila kukicha TFF tumekuwa tukisimangwa kwa ku
totumia tiketi za elektroniki,leo tunazianzisha tunaambiwa ni mapema mno,kipi hasa tunakitaka chickmaget?
Mzee timu mmeiandaa vizuri sana ila shamra shamra za mechi na Msumbiji mbona kimya..Mechi na Zimbabwe uwanja ulikuwa mtupu kabisa...Watanzania wanataka kuhamasishwa ili tuweze kwenda AFCON
me nakwambia hii mechi wakizidi hata watu 7000 najitoa humu JF !!
Mzee timu mmeiandaa vizuri sana ila shamra shamra za mechi na Msumbiji mbona kimya..Mechi na Zimbabwe uwanja ulikuwa mtupu kabisa...Watanzania wanataka kuhamasishwa ili tuweze kwenda AFCON