Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Mojawapo ya masharti ya tenda ni kuwa kampuni lazima iwe iliwahi kufanya kazi kama atleast foor one country within 7 years back. Kama hii itafuatwa vizuri nafikiri kampuni ya maana itapatikana.

But its too costly kulinganisha na nchi nyingine ulimwenguni wakati data zitakazo kuwepo ni chache.
 
Mojawapo ya masharti ya tenda ni kuwa kampuni lazima iwe iliwahi kufanya kazi kama atleast foor one country within 7 years back. Kama hii itafuatwa vizuri nafikiri kampuni ya maana itapatikana. But its too costly kulinganisha na nchi nyingine ulimwenguni wakati data zitakazo kuwepo ni chache.
Hiyo Tender iko katika Mtandao upi??iweke hapa
 
Kwa nini wasiwagawie Watanzania wote Passport ? Maana hata wakitaka kusafiri bado watataka hati za kusafiria na pesa hizo zifanye mambo mengine ?
 
Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho.

Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.

Tunaomba mwenye link ya Tender atuwekee hapa tafadhali.
 
Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho. Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.

Tunaomba mwenye link ya Tender atuwekee hapa tafadhali.

This is what I said in my post earlier today. Tunaogopa nini? Ninachoomba hapa ni wadau wa ughaibuni kutupa uzoefu wao kuhusu national IDs katika nchi walizoko. Kama kuna mapungufu pia ni vizuri yakatajwa.

Kwa mtizamo wangu, this is a good step. Na itasaidia katika mambo mengi ya kimsingi.
 
Zabuni ya utengenezaji vitambulisho yatangazwa
Evance Ng’ingo
Daily News; Sunday,May 25, 2008 @00:03

Serikali kupitia wakala wa vitambulisho imetangaza zabuni ambapo kampuni za ndani na nje ya nchi yatajitokeza kutengeneza vitambulisho vya taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake Ofisa mtendaji Mkuu wa wakala wa vitambulisho vya taifa, Dicksson Maimu alisema mradi mzima unakadiriwa kuwa wa shilingi bilioni 152.

Maimu alisema fedha za kutengeneza vitambulisho zitajumuisha masuala mbalimbali, ikiwa ni pamoja na miundombinu yake, rasilimali watu, mafunzo na kuboresha maeneo muhimu yatakayokuwa yakishirikishwa katika utekelezaji.

Maimu alitaja maeneo hayo muhimu kama ofisi ya msajili wa vizazi na vifo (RITA), Mamlaka ya Mapato(TRA) Jeshi la Polisi, mifumo ya mishahara na kiutumishi, taasisi za mifumo ya kijamii kama Shirika la Hifadhi ya Taifa(NSSF) na mashirika mengine ya hifadhi ya kijamii.

Maimu alifafanua kuwa vitambulisho hivyo vitawasaidia sana wananchi na pia vyombo vya usalama. Maimu alisema kitambulisho hicho kitasaidia uundwaji wa daftari la kudumu la taifa ambalo litakuwa linatunza taarifa muhimu za mtu kuzaliwa mpaka kufa kwake. Maimu alisema kitambulisho kitasaidia kupatiwa huduma kutoka katika taasisi mbalimbali.

“Napenda kuwahakikishia Watanzania wote kuwa hakuna upendeleo katika kutoa zabuni hizo na atakayepata ni yule mwenye sifa na hii ni kutokana na umuhimu wa suala lenyewe,” Maimu alisisitiza. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Joseph Mungai alilihakikishia Bunge kuwa serikali katika bajeti ya 2006 na 2007 ilitenga fedha kwa ajili mradi huo.
 
Je kitacontain data gani ambazo ni basic maana nimesoma somewhere wanasema hakitausishwa na kitambulisho cha kupigia kura, na baadhi ya data nyingine, Mtanzania atakuwa na vitamnbulisho vingapi? cha kupigia kura, cha kazi, cha benki, cha uraia, n.k.
 
kama wananchi wote wange kuwa na pasiport mimi nafikiri ingetosha sana kuliko haya matumizi yasiyo ya lazima.ktk suala la vitambulisho sisi tunafuata mfumo wa nchi gani ?
 
Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho. Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.

Tunaomba mwenye link ya Tender atuwekee hapa tafadhali.

Dua, Zero; no one is opposing the concept of national identity but we are afraid of the consequence of smartcard amid the living standard of our pipo! Just imagine, Mkulo is daily lobbying Wahisani to cover 40% budget deficit yet we think of multibillion project, which for the poorest country like ours won't add any value!

Why shouldn't we look for other cheaper alternative than smartcard technology, which apart from initial cost, poor citizens will bear huge load due to damage as far as our living standard is concern!?

I wonder how this agency is going to work -- "telling someone living below one dollar daily an importance of smartcard ID"!
[/SIZE]
 
Dua, Zero; no one is opposing the concept of national identity but we are afraid of the consequence of smartcard amid the living standard of our pipo! Just imagine, Mkulo is daily lobbying Wahisani to cover 40% budget deficit yet we think of multibillion project, which for the poorest country like ours won't add any value! Why shouldn't we look for other cheaper alternative than smartcard technology, which apart from initial cost, poor citizens will bear huge load due to damage as far as our living standard is concern!?

I wonder how this agency is going to work -- "telling someone living below one dollar daily an importance of smartcard ID"!

I totally agree with your arguments. But has anyone bothered to look at the advantages?

Yes, we are a poor country, but that does not mean that we should go for cheaper things and cheaper technology. We should go for something that will sustain.

You dont wanna introduce some crap simply because you bought it cheaply and two years later drop it under the grounds that it does not fit with the technological advancements. If we really want the IDs, then lets go for something that will last for years.
 
I will simply go for the advantages. We really need ID cards men. Najua kwa wale ambao mmetoka nje ya nchi kidogo mnajua manufaa ya hivi vitu. Hata ile planning ya maendeleo based on population ni manufaa makubwa. Kuna vitu kibao kama student loans etc ambazo bila ID cards ni ngumu watu kuja kulipa hii mikopo. Kuna suala zima la security and stuff. Wadau wa ughaibuni embu wekeni mnayoyaona huko kuhusu hizi IDs.

It seems to me that the fundamental difference between those who attack the government's ID Card proposals and those that support them is that we the antis actually take the time to explain our case.

There isnt any advantage of having an ID card...not a single study has shown any good outcome on having one. The problem we have with JK is is he is heading a government that was elected by walalahoi be he is unwilling to listen and more interested in ramping up a system devoid of meaning.

We all know JK's government is pathetically weak and structurally inadequate characterized by Incompetence and professional mismanagement of a first degree from Richmond to EPA scandals. now what makes you think mwananchi kule nachingwea needs an ID card?

Isnt it ironic Membe and his cronies haven't come up with categories of information they will have in these ID Cards?

Mojawapo ya masharti ya tenda ni kuwa kampuni lazima iwe iliwahi kufanya kazi kama atleast foor one country within 7 years back. Kama hii itafuatwa vizuri nafikiri kampuni ya maana itapatikana. But its too costly kulinganisha na nchi nyingine ulimwenguni wakati data zitakazo kuwepo ni chache.

In this case nipe mfano wa nchi moja duniani iliyofanikiwa kuimplement ID cards na ikafanya kazi bila matatizo yoyote yale..by that naulizia hizi nchi za third world sizungumzii nchi ya Ulaya Magharibi. ID card project says alot about priorities za JK na serikali yake. Wananchi hawana huduma za maana kama maji safi na salama, dawa ma hospitalini na watoto wetu bado wanabanana madarasani huku waaalimu wanalipwa below avarage...solution to this ni nini?

Bring on ID CARDS ..call me crazy lakini pamoja na mabaya yake MKAPA asingekubali huu upuuzi anatuletea JK

Nikuule very short and simple question, In what way are my passport, drving licence, credit cards, birth certificate, marriage certificate etc. not forms of ID?

You have a solution looking for a problem. Do a quick Janet & John cost/benefit analysis and it's bleedin' obvious mate.

Tell me what the impacts would be of an ID card. Link those impacts to some benefits and come back and educate us all as to why there is such a compelling case to spend all that dosh instead of kuwajengea wananchi baraba bara na unlimited umeme.

Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho. Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.

Unfortunately Kenya hawana matatizo ya infrastucture kama sisi, Uganda hawana matatizo ya Umeme kama sisi, Rwanda tayari wako kwenye finishing line ya kuwa na Broadband interent, Burundi hawana ID cards. Besides the point, the scariest thing in this JK's administration is this evil Government. When they're not busy making thing arbitrarily illegal, they are demanding our fingerprints and personal data as though these belonged to them. That is, in between waging useless wars overseas and unilaterally rearming us with redundant policies back home.

Dua, Zero; no one is opposing the concept of national identity but we are afraid of the consequence of smartcard amid the living standard of our pipo! Just imagine, Mkulo is daily lobbying Wahisani to cover 40% budget deficit yet we think of multibillion project, which for the poorest country like ours won't add any value! Why shouldn't we look for other cheaper alternative than smartcard technology, which apart from initial cost, poor citizens will bear huge load due to damage as far as our living standard is concern!?

I wonder how this agency is going to work -- "telling someone living below one dollar daily an importance of smartcard ID"!

my exact sentiments

I totally agree with your arguments. But has anyone bothered to look at the advantages?

Yes, we are a poor country, but that does not mean that we should go for cheaper things and cheaper technology. We should go for something that will sustain. You dont wanna introduce some crap simply because you bought it cheaply and two years later drop it under the grounds that it does not fit with the technological advancements. If we really want the IDs, then lets go for something that will last for years.

O.K. Calm down .

Let's look at the primary motivations for ID cards.

They are supposed to make everyone identifiable in order to ;

- Prevent Terrorism

Well that's rubbish, because they have id cards in Spain and it didn't prevent terrorism.What makes you think it will prevent one in Tanzania?

- Prevent Crime

Most criminals already try and use a false identity or simply not carry id. Being a known person never stopped anyone nicking a video or shoplifting.

- Access Personal Records

It depends which personal records, but my doctor knows me, as does the receptionist. My bank always throws up data protection issues even though they know me and can validate who I am. Nothing much else matters.

- Prevent Identity Fraud

Now we are getting somewhere, but what it the point of identity fraud? Shoplifting under someone else's name? No, it's to use deception to apply for funds. i.e. Either someone's actual funds from their various accounts, or to use their id in order to apply for additional credit accounts loans etc

So an identity card is primarily an additional measure to protect the financial from the losses they make (and you make) through their failure to be able to protect your money in this new age of a cashless society!

Having lived in the west i know that various government departments and corporate bodies have this habit of passing around data which might give a stranger access to banking facilities ... i.e. primarily your banking facilities, and and that this is unlikely to stop, perhaps it is up to the banks to provide the facilities to protect yourself and themselves.

Does anyone wonder why Dela Rue system didint go ahead with the project?
 
Swali zuri sana J-Za

Sina uhakika kama hawa jamaa wanajua ni vitu gani ambavyo vitahitajika kwenye hizo ID. Au sikumbuke tume ya Bunge kukaa chine kuchambua data gani zihusishwe kwenye hizo ID.

Kuna wakati nilisikia kuwa wanataka biometrics ziwe included which was stupid for these corrupt officials. Kutokana na rushwa ilivyo hapa Bongo sasa hivi wangetakiwa kuanza na simple ID since not everyone needs a passport and upgrade from there. Tusipoangalia, terrorist wote watahamia hapa TZ ili wapate ID, then passport halafu imetoka.

Sijui hata kama wana DATACENTER ya ku-manage hizo info manake wanazungumzia daftari la Taifa, na baada ya siku mbili mafisadi wanakuja kutoa kurasa muhimu kwenye hilo hilo daftari.

Tuna kazi Bongo!!!!!!!!!!!!!!
 
GT

Ugomvi wako na Membe haulisaidii hili baraza vile vile usongo ulionao kwa watendaji wengine wa serikali.

Vitambulisho ni muhimu ukizingatia pesa ambazo serikali inapoteza kwa mfano kuwasomesha raia wasio WTZ kwenye vyuo vyetu hili wewe huwezi kuliona vile vile banking sector haiwezi kuwakopesha WTZ pesa kwa shughuli mbali mbali kwa sababu hawana ID. (Sio kila mtanzania ana passport) Angalia kwa mfano bank inamkopesha pesa MTZ ambaye hata hawamfahamu au kujua address anakokaa, leo hii Tanzania huwezi kumpa mtu anwani na ukampata hii ni aibu.

Swala la ID ni kuweza kuwakopesha pesa WTZ kwa urahisi na vile vile hapo baadaye kuweza kuzuia fraud ambayo ni rampant kwenye banking sector na wanaofaidi ni wachache sana ambao wana ujuzi wa kuweza kupata hizo pesa. Mfano ni pesa za EPA na nyinginezo.

Hivi wewe unaogopa nini hasa kuwa na ID? Pesa unayolalamikia ni ndogo sana ukilinganisha na faida itakayopatikana . Angalia nchi hizo ulizozitaja wengine wanaongea kifaransa na sisi wabongo huwezi kwenda kuishi kwao lakini wao wanakuja kwetu bila misukosuko yoyote.

Passport, credit card, driving licence, birth certificate, marriage certificate etc. zote hizo huwezi kupata bila kuwa na National ID hiyo ndio bottom line naona umekaa huku ughaibuni lakini basic understanding ya kitu kidogo kama hiki kinakupiga chenga. Acha majungu na lete facts hapa kama ulivyodai Membe anashindana na EL kwenye hii tenda na tunataka kuona hiyo kampuni itakayoshinda kama kweli ni ya Membe au EL?

Membe pamoja na EL wana mapungufu yao lakini hii sio sababu ya kuleta habari potofu.

(Gharama ya passport ni karibu elfu hamsini Je, ID itakuwa na gharama gani? mara ya mwisho tulikuwa tunaongelea kama shillingi 10,000.)

Unafahamu fika kwamba kama huna NI card UK huwezi kupata huduma nyingi sana hapa UK pamoja na kuwa na vitambulisho vingine lukuki.
 
These people talk no sense. Their big motive is money and not people interest. The so called "UPEMBUZI YAKINIFU" is complete, how comes they don't tell UMMA about it. They are suppose to educate UMMA before they move one with the project. If it is for WANANCHI interest, how comes they keep it as a secret? So, once they sign the contract and find out tha it is impossible to proceed, who is going to terminate the project? Who is going to pay for their stuppidity? Are they going to get foreign nationals process ID? (Which is the biggest security breach). We are going to have new babies born everyday, how long will this company be in the country?

There are so many questions with no answers other than "UPEMBUZI YAKINIFU". Mr. president JAKAYA KIKWETE please bring this process to WANANCHI so that they can be educated bofore the government proceed.

BUNGE, WE NEED ANSWERS to these questions and more answers. I smell I big big corruption on this deal but what fears me most is, we are going to BREACH OUR SECURITY.

IF THIS PROJECT IS GOING TO BENEFIT WANANCHI AND THE COUNTRY AT LARGE, THEN TELL THE COUNTRY HOW YOU ARE GOING TO IMPLEMENT IT, INSTEAD OF KEEPING TO YOURSELF.
 
GT

Ugomvi wako na Membe haulisaidii hili baraza vile vile usongo ulionao kwa watendaji wengine wa serikali.

Vitambulisho ni muhimu ukizingatia pesa ambazo serikali inapoteza kwa mfano kuwasomesha raia wasio WTZ kwenye vyuo vyetu hili wewe huwezi kuliona vile vile banking sector haiwezi kuwakopesha WTZ pesa kwa shughuli mbali mbali kwa sababu hawana ID. (Sio kila mtanzania ana passport) Angalia kwa mfano bank inamkopesha pesa MTZ ambaye hata hawamfahamu au kujua address anakokaa, leo hii Tanzania huwezi kumpa mtu anwani na ukampata hii ni aibu. Swala la ID ni kuweza kuwakopesha pesa WTZ kwa urahisi na vile vile hapo baadaye kuweza kuzuia fraud ambayo ni rampant kwenye banking sector na wanaofaidi ni wachache sana ambao wana ujuzi wa kuweza kupata hizo pesa. Mfano ni pesa za EPA na nyinginezo.

Hivi wewe unaogopa nini hasa kuwa na ID? Pesa unayolalamikia ni ndogo sana ukilinganisha na faida itakayopatikana . Angalia nchi hizo ulizozitaja wengine wanaongea kifaransa na sisi wabongo huwezi kwenda kuishi kwao lakini wao wanakuja kwetu bila misukosuko yoyote.

Passport, credit card, driving licence, birth certificate, marriage certificate etc. zote hizo huwezi kupata bila kuwa na National ID hiyo ndio bottom line naona umekaa huku ughaibuni lakini basic understanding ya kitu kidogo kama hiki kinakupiga chenga. Acha majungu na lete facts hapa kama ulivyodai Membe anashindana na EL kwenye hii tenda na tunataka kuona hiyo kampuni itakayoshinda kama kweli ni ya Membe au EL?

Membe pamoja na EL wana mapungufu yao lakini hii sio sababu ya kuleta habari potofu.

(Gharama ya passport ni karibu elfu hamsini Je, ID itakuwa na gharama gani? mara ya mwisho tulikuwa tunaongelea kama shillingi 10,000.)
Unafahamu fika kwamba kama huna NI card UK huwezi kupata huduma nyingi sana hapa UK pamoja na kuwa na vitambulisho vingine lukuki.

Ohhh my arguments are still the same:

The introduction of ID cards is a characteristic symptom of a society moving towards dictatorship - anyone with any common sense or understanding of history knows this, and anyone who thinks they actually assist with security is incredibly naive. I this this ID cards thing is an idiotic piece of legislation & the sooner it is thrown into the dustbin of history the better.

thats all
 
These people talk no sense. Their big motive is money and not people interest. The so called "UPEMBUZI YAKINIFU" is complete, how comes they don't tell UMMA about it. They are suppose to educate UMMA before they move one with the project. If it is for WANANCHI interest, how comes they keep it as a secret? So, once they sign the contract and find out tha it is impossible to proceed, who is going to terminate the project? Who is going to pay for their stuppidity? Are they going to get foreign nationals process ID? (Which is the biggest security breach). We are going to have new babies born everyday, how long will this company be in the country?

There are so many questions with no answers other than "UPEMBUZI YAKINIFU". Mr. president JAKAYA KIKWETE please bring this process to WANANCHI so that they can be educated bofore the government proceed.

BUNGE, WE NEED ANSWERS to these questions and more answers. I smell I big big corruption on this deal but what fears me most is, we are going to BREACH OUR SECURITY.

IF THIS PROJECT IS GOING TO BENEFIT WANANCHI AND THE COUNTRY AT LARGE, THEN TELL THE COUNTRY HOW YOU ARE GOING TO IMPLEMENT IT, INSTEAD OF KEEPING TO YOURSELF.

Makes you wonder where the so called "opposition" is in all this charade
 
Hatuongelei security kama wanavyosema UK tunaongelea WTZ kupewa mikopo kutoka mabank mbali mbali pale nyumbani?

Hebu twambie hapa unawezaje kukopesha pesa bila ID inayotambulika? Serikali ya Tanzania inapotoa guarantee kwamba banks wakopeshe raia wake haitoi open check kwa non citizens, now tell us how will you manage that?

Unless unataka wachache waendelee kuiba pesa ya walipa kodi kwa ujanja ujanja.
 
Hatuongelei security kama wanavyosema UK tunaongelea WTZ kupewa mikopo kutoka mabank mbali mbali pale nyumbani? Hebu twambie hapa unawezaje kukopesha pesa bila ID inayotambulika? Serikali ya Tanzania inapotoa guarantee kwamba banks wakopeshe raia wake haitoi open check kwa non citizens, now tell us how will you manage that? Unless unataka wachache waendelee kuiba pesa ya walipa kodi kwa ujanja ujanja.

PASSPORT is an ID
MARRIAGE CERTIFICATE is an id
BIRTH CERTIFICATE is an ID
WORK id is an id

And yes CRDB,NBC both have been giving out loans to Tanzanians for over 20 years with the above mentioned ID's

by the way i am patiently waiting for your argument on why we need ID cards while outr hospitals cant afford anti malaria drugs
 
Pengine hufuatilii yanayotokea nyumbani. Bank nyingi zimelalamika kwamba haziwezi kutoa mfano credit cards kwa wananchi wengi ambao hawana vitambulisho. Hapa naongelea bank zilizofunguliwa hivi karibuni na kuna kundi la wezi wengi tu wa credit cards ambao wanatumia huo mwanya - natumaini unalifahamu hili.

Kuwatambua nani wanastahili huduma za serikali kwa mfano matibabu, elimu pamoja na huduma nyingine, sio WTZ wote wana passport, wameolewa/kuoa. vitambulisho vya kazini havina authenticity kwamba wewe ni raia wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom