Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

nashindwa kuelewa kitu kimoja kuhusu Tanzania yetu, WHAT ARE OUR PRIORITIES? Is it true ID-cards value high to Tanzanians than devastatingly public services and infrastructures? JK, kweli maisha bora yatakuja hivi, mbona huu mradi hauna maslahi hata chembe kwa waTZ?

Pendekezo la passport kwa kila mwananchi mmeliona pumba?
 
Mkandara.

Usimshangae Membe hata Mwalimu Nyerere aliamini kuwa Mkapa ni clean.
ufisadi mbaya ni pale Membe anapoweka BILION 250 kuliko BILION 150 ambazo ndizo gharama halisi za Mradi.

kumuweka MWIKALO kuwa sehemu ya hiyo project wakati Mwikalo ni kati ya watu ambao wako kwenye timu yake ya urais(MEMBE).

na inaaminika kuwa Mwikalo ni raia wa Marekani na alimsomesha Masters Bwana Membe huko Marekani.

Serikali inabidi kusitisha haraka na kuunda tume ya kufuatilia Mradi huu wa Bwana Membe.
wabunge wa upinzani tieni mkono hapa.

GT
keep it up naona FIKIRADUNI alisema ni udaku juu ya mada hii na sasa anaonekana yeye ndio mdaku.ilitakiwa kazi yako(GT) ulipwe na Raia Mwema kwa kukopi kazi yako.
 
...mradi wa ID SIO muhimu kwa sasa ...umepitishwa ili membe apate pesa za kutunisha mfuko wake....si ndio anayemsaidia muungwana kila kitu siku hizi...mshauri mkuu!!!....waziri mkuu wa muungwanas KITCHEN CABINET,,,si mnajua hata pinda hana hiyo bahati ya kuwa kwenye kitchen cabinet...
 
...mradi wa ID SIO muhimu kwa sasa ...umepitishwa ili membe apate pesa za kutunisha mfuko wake....si ndio anayemsaidia muungwana kila kitu siku hizi...mshauri mkuu!!!....waziri mkuu wa muungwanas KITCHEN CABINET,,,si mnajua hata pinda hana hiyo bahati ya kuwa kwenye kitchen cabinet...


Bwana Phillemon huu mradi ni muhimu saana kwa sasa we need ID tatizo ni hilo ambalo amezungumza Raia mwema uwazi na gharama kubwa zinazotia shaka
 
Mkandara.

Usimshangae Membe hata Mwalimu Nyerere aliamini kuwa Mkapa ni clean.
ufisadi mbaya ni pale Membe anapoweka BILION 250 kuliko BILION 150 ambazo ndizo gharama halisi za Mradi.

kumuweka MWIKALO kuwa sehemu ya hiyo project wakati Mwikalo ni kati ya watu ambao wako kwenye timu yake ya urais(MEMBE).

na inaaminika kuwa Mwikalo ni raia wa Marekani na alimsomesha Masters Bwana Membe huko Marekani.

Serikali inabidi kusitisha haraka na kuunda tume ya kufuatilia Mradi huu wa Bwana Membe.
wabunge wa upinzani tieni mkono hapa.

GT
keep it up naona FIKIRADUNI alisema ni udaku juu ya mada hii na sasa anaonekana yeye ndio mdaku.ilitakiwa kazi yako(GT) ulipwe na Raia Mwema kwa kukopi kazi yako.

Hizo pesa ni kiasi gani kwa dola au £ Sterling. Naona calculator yangu imejam.
 
Pasipoti na vitambulisho vya kupigia kura zinatosha kuwa ID.
kwani kwa hili nalo tusubiri kina Hamad Rashid au Slaa kulisemea?

GT nakupongeza sana kwa kuweka issue hii nyeti na hapa ndipo ninapowakubali Members JF kama huyu. Najua Raia Mwema watakwenda deep zaidi na kumtolea macho Membe na kundi la mafisadi zake.
 
Nungwi

Nataka kujua kiasi cha dola kwa sababu JK alisema mradi huo utagharimu $70, 000, 000 (70 million) kwa hesabu ya haraka haraka kila MTZ inacost almost 2 dollars, sasa kama hizo figure zimebadilika ni lazima tuamgalie mambo kadhaa ya inflation n.k.

Kwa vile sina uhakika billioni 250 au 150 za kibongo ni kiasi gani siwezi ku-judge..........Thanks anyway.
 
Wanabodi,
Labda mimi nimepitwa na hili... Hivi ni nchi gani duniani inatoa Paasport zake kwa raia wote kama kitambulisho.

Navyofahamu mimi passport ipo kama kitambulisho cha uraia unaposafiri nje na pengine kila nchi kuna raia wasiokuwa na passport kuliko wenye passport. Kisha kitambulisho cha kazi hutolewa na nchi zetu tu za Kiafrika lakini hii haina maana yoyote kabisa.

Inakuwaje kama mtu kaachishwa kazi ama ambaye hana kazi sii ndio haya yaliturusha kuchurachura wakati wa Nyerere?.

Jamani mfano mdogo wa ID ni pamoja na utoaji ajira inawezekana kabisa serikali ikaweka sheria kuwa ni lazima mzawa apewe kipaumbele cha kupata kazi kabla ya mgeni, huduma za Afya, na shule zinazotolewa na serikali au hata vyuo vyetu kutoa mikopo zote hizi huwezi kutimiza bila kuwepo vitambulisho.

Jambo jingine ni Ukusanyaji wa kodi, kitambulisho kinaweza kutumika kuhakikisha utaratibu wa kuikusanya kodi inaimarika zaidi...

Kwa hiyo, nionavyo mimi tatizo ni hii tender kupewa Kiongozi lakini sio ID zenyewe - Zinahitajika na muhimu sana, nashangaa tumeanza leo badala ya miaka 40 iliyopita baada ya Uhuru kama wenzetu Kunya na kile Kipnade!
 
Mkandara

Tatizo ni mfumo tulioiga kutoka kwa waingereza. UK hadi leo hawana vitambulisho ni sawa kabisa na Tanzania lakini wao tayari wamepitisha sheria kuwa wageni wote pamoja na kuwa na passport lazina wawe na vitambulisho. Baadaye wananchi wote kwa ujumla watapata vitambulisho.

Ila Conservative wakiingia madarakani wanasema wataviondolea mbali kwani havina sababu yoyote ya maana. Kwa sisi Tanzania ni muhimu kwani tumezungukwa na nchi nyingi na mipaka yetu ndio hivyo tena nakumbuka JK alitoa hiyo figure hapo juu alipokuwa UK.

Swala la msingi ndio hilo hiyo Tender kulikoni? Na kama bei imepanda hivyo inakuwaje viongozi walioko serikalini wanajihusisha na biashara?
 
Dua,
Hivi uingereza raia wake anatambulika vipi makazini ama mtaani maanake nina hakika sii kila mtu ana passport!.. na wanapo fanya kazi kodi zao hufuatiliwa vipi kila mwaka?
 
Hakuna vitambulisho hapa wala hakuna wa kukuuliza. Mwanzo unapoajiriwa tu ndio unaulizwa vitambulisho vyako baada ya hapo ni kama bongo tu.

Kuna National Insurance card ambayo ni lazima uwe nayo kwa ajili ya malipo ya kodi na medication huipati hiyo bila passport au birth certificate ya UK, vile vile driving licence ni muhimu inatunika kama ID.

Mtaani polisi hawezi kukuuliza kitambulisho kwa sababu ya sheria kali zilizopo zinazowazuia polisi kuuliza kitambilisho kwa sababu za kibaguzi, sheria hapa ni msumeno unakumbuka hata Tony Blair alihojiwa akiwa bado madarakani na polisi ofisini kwake kufuatia kasheshe la pesa za kampeni.

Unaweza kupitia hapa vile vile YournameisMINE aliuliza naswala kadhaa kuhusu Brown et
 
nungwi: said:
Mkandara.

Usimshangae Membe hata Mwalimu Nyerere aliamini kuwa Mkapa ni clean.
ufisadi mbaya ni pale Membe anapoweka BILION 250 kuliko BILION 150 ambazo ndizo gharama halisi za Mradi.

Imebaki miaka miwili mpaka uchaguzi...hakuna tena Kagoda watu wameshtukia.

Sasa ndio zinkuja hizi project zisizo za maendeleo bali kutunisha mifuko kwa ajili ya kampeni.
 
Every time a member of the government defends the introduction of ID cards, a new ground is offered to justify them. The latest effort, by the our minister Bernard Membe involvement in this project is very revealing.



You can read more here:

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=9262

2.jpg

This man is dangerous to our civil liberties


Lets see...Tanzania is one of the poorest countries in the world and the Government hasn't given us any meaningful reason why we need these ID Cards. Will they be voluntary or compulsory? How much will they cost to each Mlalahoi?



ID cards fundamentally change the nature of the wananchi's relationship to the state. Having to possess a compulsory identifying device linked to a central register makes one a conscript of the system, and no longer an independent citizen.



Defenders of JK ad his poodle Membe will say (for this is his government's standard line) that the first priority of government is to protect the populace against crime and terrorism. This is false. The first priority of government is to protect our liberties. (That does not mean that protecting security is not also a high priority; but it is emphatically not the highest.)


JK and his friend Membe so far this year have:

Led the most corrupt post independence government in Tanzania

Taken the country to war in Comoros for no apparent reason



And now they are about to turn Tanzania into a police state with the introduction of ID Cards that we really dont need at this juncture.
os11-1.jpg

JK's government claims ID cards will protect us from identity fraud. Once again they are proving to us they are living in a dream world. The ID card database will, in effect, put massive amounts of our personal, private details into a giant box marked "steal me". It will be a honeypot for fraudsters. If they cant protect money from being stolen at BOT..what makes you think they will with your ID?




Even United States where Membe's alleged company is located, few months ago saw personal information belonging to 26.5 million US veterans was seized following the theft of the data from the home of a government employee.

My reasons for distruting JK and his government are simple:



It's because his government cannot learn. Its ideology blinds it to learning from its own experiences and we saw that with EPA scandal. It cannot be told anything by those who have experience, and it cannot even learn from its own mistakes. It believes it simply cannot make mistakes -- it cannot be in error -- and therefore any disasters must be down to other people and can carry on with its actions irregardless.
kshambakokoto-1.jpg

It simply doesn't matter that half the population now are struggling to feed their families due the huge rise of food prices, they are among the poorest people in the world living under a dollar a say...but you know what?



That simply doesn't matter.

And even if those 40 million Tanzanians all individually object to the ID database, that doesn't matter either.



For JK and his poodle Membe, public support is simply not important. The government will just impose this thing on us for any public reaction short of an actual revolution. Yes Membe in particular believes that 40 million objections to ID cards wont make no difference.



Sorry.

I don't think the future is going to be pleasant to watch because our options are rapidly narrowing to



a) accepting the imposition of a horribly inept, incompetent totalitarian state and living under its arbitrary, capricious and often mistaken governance

or

b) actual civil strife to take back the country and throw out the government before the worst excesses of its stupidity and accidental violence towards the people can be realized.



JK please dont under estimate Tanzanians, walalahoi from Pemba have shown how tired they are and in my humble opinion, i believe kila Mtanzania keshachoka and its only a matter of time before heavens fall and the buck will stop with none but YOU

I can see no other futures for our once happy land.

Liberties worth having carry a risk; a mature society should accept the risk. As Benjamin Franklin said, "those who would sacrifice liberty for security deserve neither".



huff said!





 
Marekebisho Budget ya Tanzania ni $3bto $4b na si kama Mtaalamu anavyosema tujaribu kuandika habari zenye uchunguzi kwani kwenye website ya bunge kuna budget hivyo nashauri tupunguze ushabiki.

Vilevile kwa mawazo yangu kama hatuna zip code system ya kujua mtu anaishi wapi hii project haitasaidia kwani itakuwa vigumu kutumia database hiyo kwa biashara na maaendeleo kama hata hujui watu wanaishi wapi.
 
kamundu said:
...hatuna zip code system ya kujua mtu anaishi wapi hii project haitasaidia
GT, Kamundu, we don't even need to think of database security and maintenance; just imagine how these two pipo on GT's post are going to keep their ID-cards from damage!

We need to improve living standard of our pipo before rush to multi-billion ID project.
 
GT, Kamundu, we don't even need to think of database security and maintenance; just imagine how these two pipo on GT's post are going to keep their ID-cards from damage!

We need to improve living standard of our pipo before rush to multi-billion ID project.

I wanted to ask the same question, mkulima wa jembe la mkono sijui ataweka wapi smart card yake ili ile chip isiharibike, maana nimeona pre qualification notice wansema watatumia technolojia ya smart card, vitambulisho vya kupigia kura ni karatasi lakini vingine haviangaliki na vinazagaa tu kila sehemu, ukienda benki utavikuta vitambulisho mpaka kumi kaunta, hapa kumbukeni gharama ya kutenegeza vya urahia halafu mtu anakisahau benki, nani atampa kipya na kwa gharama ya nani?

Hatuhitaji hivi vitambulisho kwa sasa kwani kuna priority za muhimu zaidi kuliko hizi.
 
I will simply go for the advantages. We really need ID cards men. Najua kwa wale ambao mmetoka nje ya nchi kidogo mnajua manufaa ya hivi vitu. Hata ile planning ya maendeleo based on population ni manufaa makubwa.

Kuna vitu kibao kama student loans etc ambazo bila ID cards ni ngumu watu kuja kulipa hii mikopo. Kuna suala zima la security and stuff. Wadau wa ughaibuni embu wekeni mnayoyaona huko kuhusu hizi IDs.
 
Mradi utaanza hivi karibuni,kwa taarifa ambazo zimetangazwa na afisa Mtendaji Mkuu wa National Id Agency.

Kama kuna mtu anataka anaweza kuiomba na Mradi Mzima utagharumu billion 183 na utakuwa wa miaka mitano.

Pesa hiyo itakuwa ni gharama kwa ajili ya vitambuilisho pamoja na capacity Building,na mambo mengine yatakayohusu Mradi.

Tender iko wazi kwa kila mtu,nchini na nje ya nchi,Mwanakijiji na wewe unaweza kuomba kama utaweza kuwasaidia
 
Back
Top Bottom