Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Kutokana na takwimu inaonekana kama kuna wizi umefanyika ni mdogo. Embu tuyafungie macho baadhi ya matukio madogomadogo kama haya na tu concentrate kwenye matukio ambayo yanamkandamiza mtanzania kila siku kama gharama za umeme N.k
 
Mheshimiwa Ngurudoto,

Unafahamu kwamba kila mtu yuko "entitled" kutoa maoni atakavo. Lakini hio haimaanishi kwamba kila maoni utoayo yako sahihi kwa maana kwamba kutakuwa na mapungufu.

Sasa unaweza kueleza kwa undani ni nini hasa lengo la hoja yako, ukiambatanisha vigezo vyovyote ambavyo vitanisaidia kukuelewa unaeleza nini?

THANK YOU RICHARD KWA KUNIKARIBISHA,

TATIZO SIO MIMI, NA UWEZO WA KUJENGA HOJA UPO MKUBWA..TATIZO NI WATU WENGINE HAMJAWA MAKINI KATIKA KUTATHIMINI HABARI MNAZOPATA BILA KUJUA WANAOTOA HOJA WANA MALENGO GANI..

SABABU YA MIMI KUTOA JINA LANGU NI KUONYESHA JINSI AMBAVYO VIJANA WENGINE AU WANA JF WANAPOKUWA WASHABIKI NA KUENDELEZA UCHOCHOZI NA KUMUITA KILA MTU AIDHA FISADI AU ANAYTETEA UFISADI..

NO JAMBO FORUM SIO MOTO WA FISADI, GET IT..

ITS A FORUM.PERIOD & UFISADI IS NOT THE NEW TANZANIAN POLITICAL AGENDA...SASA HIVI UFISADI UMEKUWA NI SNOWBALL AFFECT NA NI MBINU YA WA HARIRI KUUZA MAGAZETI.. TUKOSOE LAKINI TUNAJUKUMU LA KUJENGA NCHI NA SIO KUBOMOA..

NANI ASIYEJUA KUWA WAANDISHI HAWATOI HABARI BILA KULIPWA KIDOGO DOGO? AWE WAZIRI, AWE NANI, UFISADI SASA NDIO JOURNALISTIC GOLD MINE TANZANIA & PEOPLE DARE TO THREAT OTHERS (WANA JF) KUTOA MAJINA YA WATU WANAONEKANA KUPINGA MWENENDO HUU..JF A REALITY CHECK..SASA MY NAME IS TWALIPO, NICE MEETING Y'ALL..

I LOVE MY COUNTRY KAMA NINYI, LAKINI UFISADI IMEKUWA INATUMIWA KISIASA---UNDERSTAND THAT..FUMBUKENI MACHO WATANZANIA, MIMI NI MTANGANYIKA, WENGI MUMUEZALIWA BAADA YA 1964, WATANZANIA HALISI..

SASA HIVI KUNA CORONATION YA FORMER PRIME MINISTER MR.EDWARD LOWASSA KUJISAFISHA NA WATANZANIA HAMUULIZI KWA NINI GHAFLA HUYU WAZIRI MKUU WA ZAMANI ANAPEWA PRESS NZURI (PE..HE HAS OPENNED AN ALL OUT ASSAULT ON PRESIDENT JAKAYA MRISHO KIKWETE (AMBAYE TOFAUTI NA WENGI) MIMI NINAMJUA PERSONALLY TOKA ZAMANI , NA HATA LOWASSA NAMJUA (SIJISIFII)..KWA ANAYEWAJUA HAWA MABWANA ANGEJUA KUWA TOFAUTI YA JK NA EL IS LIKE NIGHT & DAY...THE GUY NI MTU WA WATU, GENUINELY..NA LOWASSA NI SELF CENTERED (MY OPINION & OBSERVATION)OPPORTUNISTIC, ANAJIFANANANISHA NA MWINYI..

YULE MTU HAKUJIUZULU MWENYEWE, NA HATA KURA ZA CCM NEC HAZIKUTOSHA, NI ITIFAKI..HE IS VERY RICH BUT VERY UNPOPULAR NA HE WAS CREATING THE UFISADI ATMOSHPERE NA ALIAANZA KAMPENI YA URAIS AKIWA PM, ALITAKA KUWA VICE CHAIR WA CCM, HAKUPEWA AKAWA BITTER...HE WAS IN LONDON MKATABA WA BUZWAGI UKIWA SIGNED NA KARAMAGI INGAWA ALISEMA KUWA ALIKUWA LONDON SHOPPING..HE IS ONE GREEDY BASTARD..MR.PRESIDENT WANTED NO NEW MINING CONTRACT SIGNED, HE AUTHORIZED SABABU YA ARROGANCE NA KARAMAGI WENT DOWN, NA MSABAHA WENT DOWN BECAUSE OF THIS NO GOOD, NYERERE -REJECTING PRIME MINISTER WHO ONLY THOUGHT OF HIMNSELF & NO ONE ELSE BUT HIMSELF...HAYO MAGARI 500 ALIYOPOKELEWA ARUSHA NI HIS MONEY NA ANATABIA YA KUNUNUA WANA-HABARI NA HII NI MBINU ANAONA INAFAA

KOSA ALILOFANYA JK NI KUMTUMIA SAMWEL 6 KUMFUKUZA EL KAZI..SAM 6 NA LOWASSA HAWAELEWANI HATA KIDOGO SABABU WOTE WALITAKA KAZI YA U-PM BAADA YA UCHAGUZI..

SASA WANA JF, FUNGUKENI MACHO, PUNGUZENI USHABIKI, NA MTEGEMEENI BAD NEWS KUHUSU YOUR PRESIDENT KIKWETE KAMA KISASI CHA WAZIRI MKUU AMBAYE ALIZOEA KUTEMBEA NA MAGAZETI MUDA WOTE..SASA ANAENDA ISRAEL KUHIJI, WHO CARES, REALL

HE IS MAKING & PAYING TANZANIAN MEDIA TO TAINT THE GOVT, SMEAR BECAUSE HE HAS MONEY, NA RAFIKI YAKE ROSTAM ANA-CONTROL MAGAZETI FROM MTANZANIA, RAIA, RAIA MWEMA ETC.. AMBAO HAMJARUDI NYUMBANI TANZANIA MJITAHIDI MUENDE AT LEAST ONCE YEAR OR TWO YEARS, PAMEBADILIKA NA PEOPLE HAVE BECOME THAT POWER..SO DONT USE THIS FORUM KUENDELEZA RUMORS NA TABLOIDS-..UFISADI HAUKUANZA LEO, WAKATI WA NYERERE ULIKUWEPO, ILA KAMA KAWAWA NAE ANGEKUWA NA RESOURCES ZA LOWASSA, BASI NAE ANGELIPA NEWS MEDIA ZIM- SMEAR NYERER ALIPOMUONDOSHA UWAZIRI MKUU AU MSUYA PIA..

DONT BE FOOLED PEOPLE, HII FORUM SIO UFISADI TU NA SISI AMANI YETU NI KITU CHA BURE ILA MAFAHARI WAWILI WAKIGOMBANA NA MAJANI INCLUDING WANA JF KAMA AMANI ITAPOEA..THIS IS HOW UNREST START, UTAFIKIRI UNAKOMAA KISIASA KUMBE NI SIASA ZA CHUKI NA CHUKI TU..
 
Wewe ngurdoto nani alikuwa mwalimu wako a kuandika,unatuumiza macho na hizo capital letters,back to the point of disc...inaonekana una point lakini mbona hauko specific? kama unaona ni uwongo njoo na ukweli basi ila sio kulaumu wengine kuwa hawafikirii kazi yao ni kudandia tuu.
 
Koba nimeomba radhi kuhusu maandishi... Mwenye magazeti ni watu wenye njaa na sasa hii tabia imekuwa ni mbinu ya kuuza magazeti huku ikiripoti habari chocheki...Wizi umefanya na Serikali ya Mkapa na wizi mkubwa wa awamu ya Nne huyu Masai is behind..

Lowassa angekuwa anaridhika na dili za 1M , 2M wala msingesikia ila he is too greedy 152M, 176M, Buzwagi 400M..Sasa tuko US hatujui wala hatutathimini kuwa bias ipo na inakuwa..

JK alitoa Go ahead Ripoti ya Richmond na akaenda Dodoma akijua anaenda kabadilisha PM..sasa ujasiri wa mtu kufukuzwa kazi nao ujasiri..angejiuzulu 1 yr before au alipoona hata Sumaye anapata kura za NEC nyingi..(hazikutosha)..Falling out ni kubwa sababu ya Character na ndio maana Jakaya anaua mtandao, Rostam sio Treasury wa chama, Mkuchika is back, Msekwa ambaye alianguka na Sita karudishwa...JAKAYA NI MTU WA CHAMA..na kuongelea conflict of interest ni hatua...ila Magazeti ni njaa na imejulikana kuwa issue yoyote ya Ufisadi tunahamu..hakuna habari ya Zahanati kujengwa wala Barabara...ni ufisadi mtupu...

uzushi umepata Finacier sasa
 
Swala la kuwa na vitambulisho ni swala muhimu na ninakubaliana nalo kwa miguu yangu yote miwili. Cha msingi hapa ni kuhakikisha linatekelezwa kwa ufanisi na kwa gharama ndogo.

Mfano System ambayo inatumika ku issue passport ingetumika pia kutoa vitambulisho hivi. Hapa nina maana kwamba, Kwa sababu idara ya uhamiaji tayari wana system ya passport (Computers, servers, database, scanner etc) ambayo inatumika hadi sasa, sioni sababu ya kuwa na system nyingine kwa sababu lengo ni lile lile la kumtambua mtanzania! Why to have two systems for a single purpose?

Baada ya kuwa taarifa za mwanachi zimeingizwa kwenye database, na Kwa sababu passport gharama yake yaweza kuwa kubwa, badala ya ku-print passport kwa kila mtu, wanaweza kuprint only the information page (Ukarasa wa nyumawenye maelezo ) kwenye kadi ndogo ya plastic kama ambazo tunatumia kwenye vitambulisho vya kazi.

Hii kadi ndo mtu atabeba kama ID yake. Siku akihitaji passport ata onyesha tu kadi yake na kwa sababu itakuwa na Passport No, na taarifa zake zote zitakuwa kwenye Database, then passport yaweza kuwa printed within 30 min baada ya kuchukuliwa finger prints.

Kwa sasa hatuhitaji Smart Cards kwa sababu hakuna hata application yeyote inayotumia smart card ku offer public services.
Na hii yaweza kuchukua zaidi ya miaka 10 ijayo bila kuwa na application ya namna hiyo. Smart kadi inaweza ku-hold data na particulars mbali mbali na inaweza kutumika kama access kadi. Tanzania utatumia wapi Smart Card?

Kwa sasa tunahitaji tu vitambulisho kwenye ki kadi cha plastic. Kwa sababu data zitakuwepo kwenye Database, pale mahitaji ya Smart card yatakapo anza kujitokeza mtu ataweza ku upgrade kadi yake to smart Card when needed.

Napendekeza approach hii.

Kwa mtazamo huu, mradi wa vitambulisho hauwezi kuwa wa gharama kubwa, kwani watu watajaza form kwa mtendaji wa kata na kuweka attachments zote pamoja na picha. Mtendaji wa kata ata verify kama kilichojazwa ni kweli au la na kuipitisha hiyo form. Form zilizokamilika zitapelekwa kwa mkuu wa wilaya na baadae kwa ofisi ya uhamiaji ya mkoa.

Kila ofisi ya uhamiaji ya mkoa itaingiza data kwenye database na kuprint kadi. ajira za muda kwa wanafunzi wa vyuo vikuu zitakuwepo kuingiza data.

Data zote za mikoa zitaletwa makao makuu na vitambulisho vitakuwa printed na kusambazwa. Kila raia atachukua kitambulisho chake kwa mtendaji wa kata.

Approach two.

Kwa sababu tayari kuna database ya daftari la kupigia kura, the sma can be used kutengeneza National ID's.

All in all we dont need smart cards na mradi huu unaweza ukatekelezwa kwa gharama nafuu.
 
hivi hivyo vicard ni vya nini? wakati hata driving licence tuu inawashinda,hakuna mitaa wala database ya maana ya vyeti vya kuzaliwa maana kupata cheti cha kuzaliwa bongo ni kama kwenda sokoni tuu,sijui wanataka kufanya nini na hivyo vicard na sijui vita improve nini katika society yetu...waanze na vyeti vya kuzaliwa then nchi inayoeleweka mitaa/zip code or whatever la sivyo itakuwa upotevu wa fedha tuu
 
Huyo ngurdoto anarepresent jamii flani ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa aidha makusudi au kwa malengo kudumaza maoni huru. Na mbaya zaidi ni kwamba vijana ndio eti wako mstari wa mbele!!!!!!

Ngurdoto ushauri wa bure inaonekana wewe una ugomvi binafsi na watu fulani humu na unawajua. Hii inawezekana umetumwa au unajipendekeza kwa mtu au watu fulani. We have met plenty of your likes kwa hiyo haishangazi.Plz tht's private and therefore watafute hao watu privately.
 
MIMI NAITWA mr.KAIZA TWALIPO, LEO NI SIKU YANGU YA KWANZA KUANDIKA MESSAGE HAPA JAMBO FORUM..BAHATI MBAYA AU NZURI NIMEZALIWA TAREHE 09 MWEZI 12 MWAKA 1961,SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA, NA NINAISHI NCHINI MAREKANI...ANWANI 2079 JUBILEE CT, COLUMBIA MD 21046...EMAIL NI TWALIPO1961@YAHOO.COM...

MY FORMAL INTRODUCTION...HIYO NA ANATASEMA NIMEPEWA HELA KUFUATA COMMON SENSE ASEME TU..USHENZI MTUPU KWA WANA JF...HIZO PESA KWANGU SIZIHITAJI...LAKINI UPUUZI WA WATU FULANI KATIKA HII FORUM HAUWEZI KUPUUZIWA UENDELEE, ...SAID KUBENA HAWEZI KUWA GODFATHER WA JF NA MEDIA TANZANIA..I LOVE THIS FORUM BUT I HAVE TO SAVE IT FROM STUPIDITY FROM A FEW JOB, INBALANCED CONTRIBUTORS FROM CHAOS & UCHOCHEZI...THE TANZANIA TABLOID IS GETTING OUT OF HAND, MAKING PESA BECAUSE RUMORS ARE NEWS, SOME UNFOUND BASELESS NA HATA MIRADI YA KAWAIDA UMEKUWA NI KASHFA...

STOP THE STUPIDITY, UCHOCHOZI WA LEO KUFANYA KUSOMA KWOTE WATANZANIA WA NJE WENGINE MNA FAMILIA ETI SOURCE YENU NI GAZETI LA MWITA GACHUMA NA SAID KUBENA, NDIO MNATAKA KULETA UCHOCHEZI WA HABARI ZINGINE ZA KISHENZI

KUSHABIKIA UFISADI NA KUENEZA RUMORS HAKUWEZI KUTUSAIDIA SISI WATANZANIA KAMA NCHI MASIKINI, SASA HATA MAKANISANI NI HILO TU NDIO ISSUE...MUACHE USHENZI NA ANATAKA AJE KWANGU KWA KUTETEA UJING ETI MTAJE JINA, HILO HAPO NA ANWANI NIMETOA FOR THAT...UTEMI WA INTERNET NAO UTEMI (ushIROMBO)...PONGEZI KWA SHY & COMMON SENSE PEOPLE LIKE FM ES & SHY, HAMUWEZI KUPATA OPINION ZINGINE. TOLERANCE IKO WAPI, USHABIKI WA KITOTO MUACHE WABONGO

You must be heavily drinking...probably smoking Marijuana too. Get some sleep u will be better dude!
 
Kubwa jinga
 
Koba nimeomba radhi kuhusu maandishi... Mwenye magazeti ni watu wenye njaa na sasa hii tabia imekuwa ni mbinu ya kuuza magazeti huku ikiripoti habari chocheki...Wizi umefanya na Serikali ya Mkapa na wizi mkubwa wa awamu ya Nne huyu Masai is behind..

Lowassa angekuwa anaridhika na dili za 1M , 2M wala msingesikia ila he is too greedy 152M, 176M, Buzwagi 400M..Sasa tuko US hatujui wala hatutathimini kuwa bias ipo na inakuwa..

JK alitoa Go ahead Ripoti ya Richmond na akaenda Dodoma akijua anaenda kabadilisha PM..sasa ujasiri wa mtu kufukuzwa kazi nao ujasiri..angejiuzulu 1 yr before au alipoona hata Sumaye anapata kura za NEC nyingi..(hazikutosha)..Falling out ni kubwa sababu ya Character na ndio maana Jakaya anaua mtandao, Rostam sio Treasury wa chama, Mkuchika is back, Msekwa ambaye alianguka na Sita karudishwa...JAKAYA NI MTU WA CHAMA..na kuongelea conflict of interest ni hatua...ila Magazeti ni njaa na imejulikana kuwa issue yoyote ya Ufisadi tunahamu..hakuna habari ya Zahanati kujengwa wala Barabara...ni ufisadi mtupu...

uzushi umepata Finacier sasa

Hii inahusiana vipi na habari ya Vitambulisho? unapoandika hakikisha unahusisha unachoandika na kinachojadiliwa!

Asante kujirekebisha na kuacha kuandika maandishi makubwa.
 
Re: Vitambulisho vya Uraia, bomu jingine

--------------------------------------------------------------------------------

Quote: Ngurudoto
Koba nimeomba radhi kuhusu maandishi... Mwenye magazeti ni watu wenye njaa na sasa hii tabia imekuwa ni mbinu ya kuuza magazeti huku ikiripoti habari chocheki...Wizi umefanya na Serikali ya Mkapa na wizi mkubwa wa awamu ya Nne huyu Masai is behind..

Lowassa angekuwa anaridhika na dili za 1M , 2M wala msingesikia ila he is too greedy 152M, 176M, Buzwagi 400M..Sasa tuko US hatujui wala hatutathimini kuwa bias ipo na inakuwa..

JK alitoa Go ahead Ripoti ya Richmond na akaenda Dodoma akijua anaenda kabadilisha PM..sasa ujasiri wa mtu kufukuzwa kazi nao ujasiri..angejiuzulu 1 yr before au alipoona hata Sumaye anapata kura za NEC nyingi..(hazikutosha)..Falling out ni kubwa sababu ya Character na ndio maana Jakaya anaua mtandao, Rostam sio Treasury wa chama, Mkuchika is back, Msekwa ambaye alianguka na Sita karudishwa...JAKAYA NI MTU WA CHAMA..na kuongelea conflict of interest ni hatua...ila Magazeti ni njaa na imejulikana kuwa issue yoyote ya Ufisadi tunahamu..hakuna habari ya Zahanati kujengwa wala Barabara...ni ufisadi mtupu...

uzushi umepata Finacier sasa

Hii inahusiana vipi na habari ya Vitambulisho? unapoandika hakikisha unahusisha unachoandika na kinachojadiliwa!

Asante kujirekebisha na kuacha kuandika maandishi makubwa.
__________________

FD umelenga, lakini naona baadaye JF itabidi iwe na editor ambaye atafanya kazi ya kupitia na kuandika upya maoni ya watu na pengine kuyapangia mahali pa kuwekwa, maana huyu jamaa anaonekana ana hoja kichwani lakini toka mwanzo anachanganya madawa.

Kwanza anachanganya Mwanahalisi na RaiaMwema, lakini pia anaanza kujadili mambo ya kina Lowassa na JK katika mada ya vitambulisho. Ila Mawazo yake yamewafikia walengwa na huu ndio uzuri wa JF, UHURU WA KUJIELEZA
 
HIVI WANAJF KWELI TUNAITUMIA FURSA HII VIZURI KUWASAIDIA WATZ? MIE SIDHANI KAMA TUITUMIA, NGURUDOTO JITAHIDI KUWA MUWAZI KWA WATZ LASIVYO KUNA SIKU WATAKUJA KWELI KWENYE HIYO ADDRESS NA KUKUGONGEA MLANGO WAKIWA NA HOJA NZITO NA SWALI 'LA NANI KAKUTUMA'
WATANZANIA HAWAWAPENDI TENA WATU KAMA WEWE!!NI WANAFIKI NA MSIOPENDA WATZ KAMA KINA LOWASSA KWA KUWANYIA HAKI ZAO
HIVI unawajua unawao watetea lakini? Huu mradi ni kati ya miradi mibovu ambayo walionunua hii kazi kwa majina ya wasouth africa ni wabongo tena mmoja ni CEO wa agency mpya ambayo hata mwaka haina na mwingine yuko kwa mmasai mmoja aliyesema wanatengwa! Inasikitisha kuona kwamba hao wanaongoza mradi ndio wenye kampuni inayofanya kazi hiyo.

Huyo mmoja alianzisha miradi mingi mibovu ya IT pale utumishi na anaendelea kupewa madaraka kila kukicha sijui na network gani inayozidi ya Lowassa!

WanaJF huu mradi ni fake tena fake sana hauna mlinganyo wa faida na hela itakayomika. Smart card za nini ilhali hata vitambulisho vya kupigia kura tunavyo?/
 
Mheshimiwa Ngurudoto,

Unafahamu kwamba kila mtu yuko "entitled" kutoa maoni atakavo. Lakini hio haimaanishi kwamba kila maoni utoayo yako sahihi kwa maana kwamba kutakuwa na mapungufu.

Sasa unaweza kueleza kwa undani ni nini hasa lengo la hoja yako, ukiambatanisha vigezo vyovyote ambavyo vitanisaidia kukuelewa unaeleza nini?

Mkuu heshima mbele,
huyo mheshimiwa niliisoma msg yake hiyohiyo ktk post nyingine na akashauriwa hivyohivyo lakini wapi, jamaa ana jazba sana. yaonesha ana dukuduku kubwa sana lakini cha ajabu haweki proof zake, anaweka msg irrelevant na topic.
 
Mheshimiwa sana Ngurdoto aka Twalipo,

i)Sasa mkuu, kama ni kweli kwamba JK na EL ni sawa na usiku na mchana, na kama kweli EL na mbaya kiasi hicho na JK alijua hivyo, ikawaje sasa akamteua kuwa waziri wake mkuu, au ndio tuseme anamuogopa?

ii) Dawa ya sisi kuacha kuushupalia huo ufisadi ni ndugu zetu tuliowakabidhi kuendesha serikali kuacha ufisadi. Madamu wanaendelea kufisadi kamwe hatutaacha kuwasema hata kama mtakuja na lugha kali mara kumi ya hii uliyoitumia hapa. Pole sana na kukerwa na mjadala wa ufisadi hapa JF, bahati mbaya huna unachoweza kufanya zaidi ya kukasrika na sisi hatuna njia ya kukusaidi zaidi ya kukusoma!
 
MIMI NAITWA mr.KAIZA TWALIPO, LEO NI SIKU YANGU YA KWANZA KUANDIKA MESSAGE HAPA JAMBO FORUM..BAHATI MBAYA AU NZURI NIMEZALIWA TAREHE 09 MWEZI 12 MWAKA 1961,SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA, NA NINAISHI NCHINI MAREKANI...ANWANI 2079 JUBILEE CT, COLUMBIA MD 21046...EMAIL NI TWALIPO1961@YAHOO.COM...

Karibu JF Ngurudoto,

Unapojitambulisha wewe taja jina tu Kaiza Twalipo, heshima ya U-"Mr" acha watu wakupe, sio ustaarabu (ni poor social etiquette, naona sisi waTZ tunayo sana) kusema naitwa Mr or Mrs so and so, you may however introduce yourself as "Dr" so and so, a title you have actually earned, ni hayo tu, couldn't resist!
 
Huyu jamaa Twalipo naona ana zigo la matatizo ama walio mtuma hawakumpa mbinu za namna ya kupenyeza ujumbe wao hao jamaa hapa JF . Njoo na kasi ndogo usije zimika ghafla hii ni JF .
 
This whole exercise should not be at the top of our priorities! If we can't even afford mosquito nets, how can we afford this?
 
This whole exercise should not be at the top of our priorities! If we can't even afford mosquito nets, how can we afford this?

Do we need national ID cards? yes we do, no doubt about that and I am all for it. The thing is why are we prioritizing this project when we are in dire need of other more important things like clean water, affordable electricity, good or just acceptable infrastructure and a host of others. Besides, the "drama" going in the government regarding the project can easily be construed(rightly or wrongly) to project an appearance of impropriety(read ufisadi).

If we could only get our priorities straight... and that is no small IF!!
 
Naamini sio coincident kwamba mradi uanze 2009 bali ni njia nyingine ya kutafuta fedha za kampeni za chama, na pia kujipa ujiko kwamba tumeanza tupeni muda tumalizie.

Kama alivyosema Kamundu, bila Zip Code system ni ngumu kujua mtu anapoishi(Adress, house number, street, town)n.k

HIVI SERIKALI HAIJAMCHOKA TU HUYU MAIMU NA MIRADI YAKE MIBOVU YA ICT PALE UTUMISHI WAKISHIRIKIANA NA SAWE. HAWA JAMAA WANADIDIMIZA ICT NA KUIFANYA IONEKANE NI KITU KIBAYA KATIKA MAENDELEO YA NCHI KWANI WAMEANZISHA MIRADI YA MA-ICT SPECIALIST AU EXPERT AMBAO WALIWAPATA MTAANI KWA KUJUANA NA KUWAWEKA KTK MAWIZARA BILA YA MAWIZARA HUSIKA KUWAHITAJI. KWA MFANO USAHILI WA WATU HAO HAUKUFATA UTARATIBU WA AJIRA ZA SERIKALI NA HATA WALIOWAACHA PALE UTUMISHI NAO WANAENDELEZA JADI HIYO1 LEO HII MNATAKA KUMPA TENA MRADI WA VITAMBULISHO???? BOMU LAKE LINGINE NI AJIRA ZA RITA ZILIVYOFANYIKA NA MIRADI YAKE
 
Back
Top Bottom