Hiyo Tender iko katika Mtandao upi??iweke hapaMojawapo ya masharti ya tenda ni kuwa kampuni lazima iwe iliwahi kufanya kazi kama atleast foor one country within 7 years back. Kama hii itafuatwa vizuri nafikiri kampuni ya maana itapatikana. But its too costly kulinganisha na nchi nyingine ulimwenguni wakati data zitakazo kuwepo ni chache.
Hiyo Tender iko katika Mtandao upi??iweke hapa
Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho. Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.
Tunaomba mwenye link ya Tender atuwekee hapa tafadhali.

Dua, Zero; no one is opposing the concept of national identity but we are afraid of the consequence of smartcard amid the living standard of our pipo! Just imagine, Mkulo is daily lobbying Wahisani to cover 40% budget deficit yet we think of multibillion project, which for the poorest country like ours won't add any value! Why shouldn't we look for other cheaper alternative than smartcard technology, which apart from initial cost, poor citizens will bear huge load due to damage as far as our living standard is concern!?
I wonder how this agency is going to work -- "telling someone living below one dollar daily an importance of smartcard ID"!
I will simply go for the advantages. We really need ID cards men. Najua kwa wale ambao mmetoka nje ya nchi kidogo mnajua manufaa ya hivi vitu. Hata ile planning ya maendeleo based on population ni manufaa makubwa. Kuna vitu kibao kama student loans etc ambazo bila ID cards ni ngumu watu kuja kulipa hii mikopo. Kuna suala zima la security and stuff. Wadau wa ughaibuni embu wekeni mnayoyaona huko kuhusu hizi IDs.
Mojawapo ya masharti ya tenda ni kuwa kampuni lazima iwe iliwahi kufanya kazi kama atleast foor one country within 7 years back. Kama hii itafuatwa vizuri nafikiri kampuni ya maana itapatikana. But its too costly kulinganisha na nchi nyingine ulimwenguni wakati data zitakazo kuwepo ni chache.
Nchi zote zilizotuzunguka wana ID sisi tunaogopa nini? Au tumekuwa shamba la bibi? Hatuwezi kulinda mipaka yetu ni lazima tuwe na vutambulisho. Angalieni yanayotokea nchi zote duniani very soon tutakuwa na embedded chips kwenye miili yetu kujitambulisha. Lets go with time. Gonga hapa.
Dua, Zero; no one is opposing the concept of national identity but we are afraid of the consequence of smartcard amid the living standard of our pipo! Just imagine, Mkulo is daily lobbying Wahisani to cover 40% budget deficit yet we think of multibillion project, which for the poorest country like ours won't add any value! Why shouldn't we look for other cheaper alternative than smartcard technology, which apart from initial cost, poor citizens will bear huge load due to damage as far as our living standard is concern!?
I wonder how this agency is going to work -- "telling someone living below one dollar daily an importance of smartcard ID"!
I totally agree with your arguments. But has anyone bothered to look at the advantages?
Yes, we are a poor country, but that does not mean that we should go for cheaper things and cheaper technology. We should go for something that will sustain. You dont wanna introduce some crap simply because you bought it cheaply and two years later drop it under the grounds that it does not fit with the technological advancements. If we really want the IDs, then lets go for something that will last for years.
GT
Ugomvi wako na Membe haulisaidii hili baraza vile vile usongo ulionao kwa watendaji wengine wa serikali.
Vitambulisho ni muhimu ukizingatia pesa ambazo serikali inapoteza kwa mfano kuwasomesha raia wasio WTZ kwenye vyuo vyetu hili wewe huwezi kuliona vile vile banking sector haiwezi kuwakopesha WTZ pesa kwa shughuli mbali mbali kwa sababu hawana ID. (Sio kila mtanzania ana passport) Angalia kwa mfano bank inamkopesha pesa MTZ ambaye hata hawamfahamu au kujua address anakokaa, leo hii Tanzania huwezi kumpa mtu anwani na ukampata hii ni aibu. Swala la ID ni kuweza kuwakopesha pesa WTZ kwa urahisi na vile vile hapo baadaye kuweza kuzuia fraud ambayo ni rampant kwenye banking sector na wanaofaidi ni wachache sana ambao wana ujuzi wa kuweza kupata hizo pesa. Mfano ni pesa za EPA na nyinginezo.
Hivi wewe unaogopa nini hasa kuwa na ID? Pesa unayolalamikia ni ndogo sana ukilinganisha na faida itakayopatikana . Angalia nchi hizo ulizozitaja wengine wanaongea kifaransa na sisi wabongo huwezi kwenda kuishi kwao lakini wao wanakuja kwetu bila misukosuko yoyote.
Passport, credit card, driving licence, birth certificate, marriage certificate etc. zote hizo huwezi kupata bila kuwa na National ID hiyo ndio bottom line naona umekaa huku ughaibuni lakini basic understanding ya kitu kidogo kama hiki kinakupiga chenga. Acha majungu na lete facts hapa kama ulivyodai Membe anashindana na EL kwenye hii tenda na tunataka kuona hiyo kampuni itakayoshinda kama kweli ni ya Membe au EL?
Membe pamoja na EL wana mapungufu yao lakini hii sio sababu ya kuleta habari potofu.
(Gharama ya passport ni karibu elfu hamsini Je, ID itakuwa na gharama gani? mara ya mwisho tulikuwa tunaongelea kama shillingi 10,000.) Unafahamu fika kwamba kama huna NI card UK huwezi kupata huduma nyingi sana hapa UK pamoja na kuwa na vitambulisho vingine lukuki.
These people talk no sense. Their big motive is money and not people interest. The so called "UPEMBUZI YAKINIFU" is complete, how comes they don't tell UMMA about it. They are suppose to educate UMMA before they move one with the project. If it is for WANANCHI interest, how comes they keep it as a secret? So, once they sign the contract and find out tha it is impossible to proceed, who is going to terminate the project? Who is going to pay for their stuppidity? Are they going to get foreign nationals process ID? (Which is the biggest security breach). We are going to have new babies born everyday, how long will this company be in the country?
There are so many questions with no answers other than "UPEMBUZI YAKINIFU". Mr. president JAKAYA KIKWETE please bring this process to WANANCHI so that they can be educated bofore the government proceed.
BUNGE, WE NEED ANSWERS to these questions and more answers. I smell I big big corruption on this deal but what fears me most is, we are going to BREACH OUR SECURITY.
IF THIS PROJECT IS GOING TO BENEFIT WANANCHI AND THE COUNTRY AT LARGE, THEN TELL THE COUNTRY HOW YOU ARE GOING TO IMPLEMENT IT, INSTEAD OF KEEPING TO YOURSELF.
Hatuongelei security kama wanavyosema UK tunaongelea WTZ kupewa mikopo kutoka mabank mbali mbali pale nyumbani? Hebu twambie hapa unawezaje kukopesha pesa bila ID inayotambulika? Serikali ya Tanzania inapotoa guarantee kwamba banks wakopeshe raia wake haitoi open check kwa non citizens, now tell us how will you manage that? Unless unataka wachache waendelee kuiba pesa ya walipa kodi kwa ujanja ujanja.
PASSPORT is an ID
MARRIAGE CERTIFICATE is an id
BIRTH CERTIFICATE is an ID
WORK id is an id
And yes CRDB,NBC both have been giving out loans to Tanzanians for over 20 years with the above mentioned ID's
by the way i am patiently waiting for your argument on why we need ID cards while outr hospitals cant afford anti malaria drugs