Kevo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 1,333
- 54
Ok.. basi inawezekana bunge halitavunjwa kama wana mpango wa Ijumaa lakini duniani vyote vinawezekana. Kwa sababu itakuwa muhiimu kwake kuunda timu mpya kabisa kuanzia Bungeni na hivyo kuhakikisha anajipatia kundi jipya la kumsaidia ushindi 2010.
Kikwete akivunja Bunge sasa na baada yake mchakato mpya kuanza kutafuta wagombea ukaanza na yeye akagoma kuwaunga mkono wagombea kama kina Lowassa, Rostam n.k au kinyume chake kina Selelii, Mwakyembe na Kilango etc basi anaweza kujijengea heshima kubwa.
Catch 22 ya hapa ni kuwa akivunja Bunge na yeye anapoteza Urais!!
I wish angepoteza Uraisi maana I would call it a milestone.Raisi Mkalia farasi watatu yaani Marafiki,Wawekezaji na Wananchi huku wanachi wakiwa wanaguswa na tai yake tuu huku wawekezaji na marafiki zake wakiponda na kula raha!