Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

jamani nisaidieni mi nnakasimu kangu kamkononi nataka kusikiliza hotuba, nistation gani inatangaza? au ni mwankjj na tv tuu???? MSAADA UNAHITAJIKA
 
Hapo Mkuu sasa tupo wote, japo inakatakata, ila inasitasita. Lakini nakupata murua
 
haya rais eti kaingia saa sita kamili!! (msije mkaifanya hii ndio news) kitu ambacho sielewi ni umuhimu wa kukagua gwaride!!
 
Mzee Mwanakijiji,

Ninakupata Klh news. Ila bado inakata kata kidogo.
 
nashukuru nimeipata wenye simu za mikononi set frequency 92.3 wimbo wa taifa ndo unapigwa.

WAKATI UMEFIKA....KILA LA HERI
 
jamani nisaidieni mi nnakasimu kangu kamkononi nataka kusikiliza hotuba, nistation gani inatangaza? au ni mwankjj na tv tuu???? MSAADA UNAHITAJIKA

Uko wapi, ni lazima tujue kwanza ulipo ikiwa ni Dar FM 92.3
 
Rais bado yuko nje ya ukumbi wa bunge, ataingia ndani hivi punde
 
Rais, Sitta, wote wameshaingia sasa....Bunge kimya na limejaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…